Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 2,144
- 5,291
Ufuta naona muda wake ndio unaishia mbaazi bado hadi mwezi wa 7 huko hadi 8 na korosho ni kuanzia mwezi wa tisa na hapa nakusudia kununua kwa wakulima (kangomba) na kuuza kwa vyama vya msingi inahitaji umakin na ufuatiliaji wa muda mrefu coz unaweza kata pesa, ukanunua labd kangomba 2000 gharama za uendeshaji 200 kila kg 1 mnada ukasoma 1856 🤣
mkuu ninauzoefu na biashara ya mpunga huku mbeya ila ningepata abc za mbaaz, korosho na ufuta huwa nazitaman san kuzifanya. Npe abc tafadhal yn msim n mwez up na uuzaj wake upo vp mkuu.