Recent content by Abdul1

  1. A

    JamiiForums Tanzania Utendaji uliotukuka wa Rais Magufuli; Wanafunzi 400 UDSM wajiunga na CCM

    Hakuna shida 2020 tutaona
  2. A

    JamiiForums Tanzania Wakala wa majengo nchini (TBA) yatoa ufafanuzi baada ya kupatikana nyufa katika Hosteli za chuo kukuu cha Dar(UDSM)

    Duh expansion joint ya namna hiyo haijawahi kutokea huko kote ni kujitoa hofu na kutaka asifukuzwe kazi, expansion joint huwa inaachwa kwenye sehemu za dirisha sasa huo ni ufa kabisa, mbona majengo yanajengwa na makubwa kuliko hizo hostel na haijawahi kutoka ufa na namna hizo
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimempa mimba mwanafunzi wa kidato cha tatu

    Subiri kifungo chako cha 30yrs Sent using Jamii Forums mobile app
  4. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri nahisi nilijidanganya kwa huyu Binti

    Piga moyo konde na fanya yako huyo sio wife material Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    JamiiForums Tanzania Ripoti ya CAG: Mkataba wa Mlimani City na Chuo Kikuu cha UDSM ni wizi mtupu

    Doh chenga kila sehemu kweli hili balaa la 10% halimauchi mtu salama kabisa Sent using Jamii Forums mobile app
  6. A

    JamiiForums Tanzania Manji rasmi arudi Jangwani mamia ya wanachama wampokea

    Nendeni mkafanye biashara yenu vizuri, ila uwanja wa yanga umejaa maji mpaka magugu yameota juu yake
  7. A

    JamiiForums Tanzania Vyakula vinavyobaki kwenye mighahawa huwa vinapelekwa wapi?

    Ww fuga mbwa ndio utajua wapi vinapelekwa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Jeshi la Polisi lataja wahusika wa mauaji Kibiti mkoa wa Pwani

    Nini chanzo cha mauaji hayo? Watu wanaosadikika kuwa ni wauwaji je mbona hajaeleza chanzo zaidi?
  9. A

    JamiiForums Tanzania Mchina atoa fake BMW makubwa haya!

    Tupia picha tuone hiyo fake na sio blaa blaa tu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Msikiti mpya kufunguliwa Ujerumani, Mashoga, Kawaida, Wanawake, Suni, Shia kusali kwa pamoja!

    Huo sio mskiti, bali ni hekalu kila mtu anaweza kwenda kuabudu.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Kanusho: Vyeti feki vyafyeka polisi kwa mamia, ni habari ya Uongo

    Tanzania, vp kuhusu jeshini nako ataenda kuwatimua wenye vyeti feki?
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mke wangu mchafu

    Vp papauchi yake hainuki?
  13. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni ushauri huyu msichana nimuache au nifanyaje?

    Hama nyumba
  14. A

    JamiiForums Tanzania Mbasha: Aliyemuoa Flora nampelekea ujumbe huu

    Ndogo kuliko!
  15. A

    JamiiForums Tanzania Suala la Kodi TRA: Magufuli, kwa mwenendo huu utashindwa tu

    Hii gari utakuta ni 2500 CIF, sasa balaa yake hapa tz kodi yake ni mara 2 ya bei ya gari
Back
Top Bottom