Complain complain complain! Ni hilo moja tu umeona ndugu? Hebu fikiria kila jambo na wakati wake na ufunguke sasa, kesi ya wazee wa EAC ipo mahakamani siyo, unafikiri wakishinda na kuamliwa walipwe haitawezekana! Well, scarcity mentality vs Abundant mentality. Na wengine woooote wenye madai yao...
That's well said once again,i spoke emotionally kuhusiana na huyu ndugu, well, what happened to hulka yetu waTanzania? Always want to troubleshoot, kuumbua tu, then sisi wenyewe hatupigi hatua hata kidogo! Huyu ndugu ni kati ya wale hard-man-ship ni issue, wale wamejenga discipline, and they've...
What is your motive, TANZANIA tuna matatizo mengi mno rundo ambayo simply because hatuna raisi kama Kagame hayatatuliki, hebu sema, ulipenda hawa ndugu waliogundua tatizo lao na kutafuta mbinu za kulitatua washindwe? ndiyo hulka gani hiyo ya KiTanzania, wengi hatujui hata nchi yetu inaenda vipi...
Nakuunga mkono kabisa, BUT dhana ya kufanya uchaguzi ni hii haswa ya kumuuliza maswali hayo, na ni kabla hajachaguliwa ili asije akachaguliwa ili ajaze utumbo wake, akishachaguliwa unamuulizaje tena, thats where people's power come in!
Ushauri mtukufu; Kwanza, ubunge ni kazi ya kujitolea tangu enzi! kama alifikiria atatajirika amekosea mno! halafu hat lugha yake inaonyesha ni mtu wa juche-madesa! Inabidi ndugu awaeleze vizuri wapiga kura wake!
Pili, ukiona unakwazika that much, kwa nini usiachane na huo ubunge? Umesema kwa...
Na posho za vikao hivyo ni balaa, pampja na kutochukua hatua yoyote, wanaendelea kufyonza funds za siye walipa kodi, ile ni kama TV series yani, wana maana gani kama siyo kujionyesha tu na hakuna dead end au conclusion zenye mshiko!
Give me a break! Unasema ni sasa! Mbona kuna hadi tume ya maadili ya viongozi na mpaka kesho kutwa waakina Mramba, Yona na wenzao bado wanatesa tu ati ni wawekezaji wa ndani! Acts don't solve problems, ........
Kwenye RED;Umaskini na dharau kwa walala hoi hazitakwisha kamwe, na ninyi wapiga kura msiyeona haya mnastahili kunyan'ganywa haki na kwanza HAMNA HAKI YA KUCHAGUA VIONGOZI kama watachaguliwa wanaofurahia kuzurura nje ya nchi ati kwa shughuli zao huku watu wanakosa mishahara, na kutibiwa kwao...
Pamoja na kuwa ni ukweli, naongezea hapo, ni kwamba akiwa kioo cha jamii, mara tu anapoingia kwenye utumishi uliotukuka anatakiwa aelewe kwamba matendo yake maisha yake n.k vinahusishwa moja kwa moja na nafasi yake kwa jamii!
Jamani, sote tutambue kwamba bila kuwaondoa mafisadi kwenye system hakuna mtu atakayeongoza vyema hii nchi, "chupa mpya mvinyo wa zamani" bado tunaishi kwenye shadows za akina Mramba, Yona, Mkapa na wengine wengi ambao mabadiliko yoyote watayapinga kwa uwezo wao wote ili siri zao zisifunuke!
Haya mkuu, hao jamaa waswahili si ndo wanatia kinywani kila mapato bila ku-invest, taaria ni kwamba wazo lake originally ni zuri lakini mifuko hiyo tutainunua kwa magendo yote hapa mjini!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.