Bora ubunge ufutwe tu! - Serukamba

Tatizo si kufuta ubunge! Tatizo ni yeye anayeung'ang'ania huo ubunge. Kama anaona ubunge haulipi kwa nini alichakachua matokeo ya ubunge. Kama vipi kuna umuhimu wa kila anayetangaza nia ya kugombea tumhoji atakuwa upande wananchi au wa tumbo lake akishataja upande mmoja anaweka saini ya makubaliano ili atakapokosea itakuwa rahisi kumwajibisha
 
Mh. Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba kwa kupitia account yake ya twitter (let's hope it is not hacked)anaendelea kutetea wabunge kuongezewa posho.

Amediriki kwenda mbali kidogo kwa kusema kama mnaona tatizo la wafanyakazi wa umma kulipwa kidogo basi ubunge ufutwe kabisa ili wafanyakazi wa umma wapate mishahara minono.

Nanukuu 'tweets' zake kama ifuatavyo ( @serukamba ) kupitia twitter.com :


serukamba
@ RT DM FAV TR
Msiwe na monopoly ya akili
jamani na kudhani wengine
hawafikili you are wrong dam
wrong!
12:02 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Mshahara wangu ni 2560000
kabla ya kodi! Upotoshaji
tuache!
11:51 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Tujifunze na tuvumilie
wanaofikilia tofauti tujadili
hoja matusi sio uungwana!
11:48 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Anayesema alipoteza kura
yake ! Kwanza naamini
hakunichagua ! Na hatuwezi
watu wote kuna msimamo
sawa!
11:47 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Let us think msikwepe hoja
yangu! Mnaonaje tukifuta
bunge! Ili tupate pesa nyingi
tulipe watumishi vizuri
11:45 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
This is the radica thinking
tujadili ! Tufute bunge ili
watumishi walipwe vizuri !
11:34 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna kuzira ! Kama nyie
mnaishi bila kuwa wabunge na
sisi tunaweza kuishi bila
ubunge! Tufute bunge kuondoa
maneno!
11:04 via Twitter for
BlackBerry® retweeted twice
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna panic we can live
without ubunge! Tufute tu!
Tumesoma tutafuta kazi
kwingine!
11:00 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
Naamini hajui kutokuwepo na bunge hakuzuii nchi kuendelea, lakini nchi haiwezi kuwepo bila wafanyakazi. ***** pumbav kabisa.
 
Kwa type hii ya wabunge sijui kama tutafika tuendako maana wapo kwa maslahi yao binafsi na wala si ya wananchi, kama anaona posh hiyo haitoshi si aache Ubunge maana hata hivyo aliiba kura hakushinda kihalali, Pia ana elimu kiasi gani anayoweza kutishia watu kwani wapo wengi ambao wana elimu zaidi yake lakini hawana kazi. Tena tunamuomba asirudie maneno yake yasiyo na mbele wala nyuma.
 
Nafikiri Mbunge anatakiwa kuwa makini sana na kauli zake..hizo kauli si za mtu anaewawakilisha watu katika kudai maslai na kuleta maendeleo kwa wananchi....Ila hili ni somo ili wakati mwingine tuwe makini sana tunapo wachaguwa watu watuwakilishe.....
 
Mh. Mbunge wa Kigoma mjini Peter Serukamba kwa kupitia account yake ya twitter (let's hope it is not hacked)anaendelea kutetea wabunge kuongezewa posho.

Amediriki kwenda mbali kidogo kwa kusema kama mnaona tatizo la wafanyakazi wa umma kulipwa kidogo basi ubunge ufutwe kabisa ili wafanyakazi wa umma wapate mishahara minono.

Nanukuu 'tweets' zake kama ifuatavyo ( @serukamba ) kupitia twitter.com :


serukamba
@ RT DM FAV TR
Msiwe na monopoly ya akili
jamani na kudhani wengine
hawafikili you are wrong dam
wrong!
12:02 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Mshahara wangu ni 2560000
kabla ya kodi! Upotoshaji
tuache!
11:51 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Tujifunze na tuvumilie
wanaofikilia tofauti tujadili
hoja matusi sio uungwana!
11:48 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Anayesema alipoteza kura
yake ! Kwanza naamini
hakunichagua ! Na hatuwezi
watu wote kuna msimamo
sawa!
11:47 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
Let us think msikwepe hoja
yangu! Mnaonaje tukifuta
bunge! Ili tupate pesa nyingi
tulipe watumishi vizuri
11:45 via Twitter for
BlackBerry®
serukamba
@ RT DM FAV TR
This is the radica thinking
tujadili ! Tufute bunge ili
watumishi walipwe vizuri !
11:34 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna kuzira ! Kama nyie
mnaishi bila kuwa wabunge na
sisi tunaweza kuishi bila
ubunge! Tufute bunge kuondoa
maneno!
11:04 via Twitter for
BlackBerry® retweeted twice
serukamba
@ RT DM FAV TR
Hakuna panic we can live
without ubunge! Tufute tu!
Tumesoma tutafuta kazi
kwingine!
11:00 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once

Ushauri mtukufu; Kwanza, ubunge ni kazi ya kujitolea tangu enzi! kama alifikiria atatajirika amekosea mno! halafu hat lugha yake inaonyesha ni mtu wa juche-madesa! Inabidi ndugu awaeleze vizuri wapiga kura wake!
Pili, ukiona unakwazika that much, kwa nini usiachane na huo ubunge? Umesema kwa uhakika ati umesoma which is still doubtful, achana na unyang'anyi wa pesa za wananchi, nenda katafute hizo kazi zingine!
 
@ RT DM FAV TR
Hakuna panic we can live
without ubunge! Tufute tu!
Tumesoma tutafuta kazi
kwingine!
11:00 via Twitter for
BlackBerry® retweeted once

PASS grade ya IFM?
 
Tatizo si kufuta ubunge! Tatizo ni yeye anayeung'ang'ania huo ubunge. Kama anaona ubunge haulipi kwa nini alichakachua matokeo ya ubunge. Kama vipi kuna umuhimu wa kila anayetangaza nia ya kugombea tumhoji atakuwa upande wananchi au wa tumbo lake akishataja upande mmoja anaweka saini ya makubaliano ili atakapokosea itakuwa rahisi kumwajibisha
Nakuunga mkono kabisa, BUT dhana ya kufanya uchaguzi ni hii haswa ya kumuuliza maswali hayo, na ni kabla hajachaguliwa ili asije akachaguliwa ili ajaze utumbo wake, akishachaguliwa unamuulizaje tena, thats where people's power come in!
 
Back
Top Bottom