Data Protection act kuwaathiri wanaharakati?

Data Protection act kuwaathiri wanaharakati?

Dada Kupeng'e,
Ingekuwa Slaa ni mwizi, kama ulivyoonesha hapo juu, nadhania angekuwa mahakamani muda huu. Slaa anapelekewa document, haibi

kama anapelekewa inabidi sheria imulinde mwenye nyaraka na kuwaadhibu wapelekaji na wapokeaji kama SLAA
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

Afu itakuzidishia umaskini.
 
Now Kenya wameishapeleka bill YA Data protectuion act

Check hapa[h=1]Kenya: Draft Data Protection Bill [/h]

mara zote mnatafuta ulinganifu wa mambo mabaya kujengea hoja harakati zenu za kidhalimu, mimi nilidhani ungependekeza kuwa nyaraka za serikali zisiwe siri kwa raia wa tanzania kwani ndiye mwenye nchi, hatuhitaji pilikapilika za kuturudisha kupigania uhuru, mnahangaika kama mtetea anataka kutaga!!!!!
 
naomba watu tujadili mada maana
hii ni act ambayo itasadia watu wengi huwezi jua na wewe unaweza kuwa mojawapo

hakuna mtu msafi ambaye ataogopa kufanyiwa ukakuzi wa usafi, ukiona anaogopa basi ujue hajaoga au hajafua, sasa hao wanaoshabikia hii sheria ujue wazi hawa sio wasafi wanauchafu wao hivyo wanatafuta chaka la kujificha na ndio maana wanaitaka sana sheria hii ya zuio la siri zao kuvuja
 
Watu wamekuwa wakali na waoga wa kivuli chao. Ninachoamini hakuna mtu chini ya ardhi atakayezuia wimbi la mabadiliko. Hata sheria gani ije. La msingi ni kuamua moja kuacha upepo upite maana ukiuzuia bila hekima utasababisha madhara kama vile kimbunga na tufani bure.

swadakta!!!!!!!
 
Huyu mtoa mada ametumwa huyu sasa aliyekutuma mwambie waTz 2meshafungka hatuna tena ujinga mnataka kprotect maov ya vgogo c ndioeeh? Hyo ikiptishwa 2taandamana nch nzma.... Afu leo mwisho kusema Dr. Slaa anaiba unajua maana ya kuiba ww? SHUWAINY!!!
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

Umesha mtukana mwana JF tayari kwamba ni mwizi.Dr.Slaa.
Unaweza thibitisha hilo?
Aliiba wapi?
Kama aliiba wa kulaumiwa ni mwizi au ni yule asiye jua jinsi ya kulinda
nyaraka muhimu? (Ingawa sio muhimu maana ni nyaraka zinazo husu ufisadi)
 
Yes... Hii nchi yetu yatupasa kuwa na vipaumbele..

Dr K... Umeona kuna udharura gani wa hiyo Data Protection Act? Katika sababu zako 4 sijaona udharura wa hiyo act. wala faida zake kwa Taifa...

Mi nashauri Watanzania tufikirie,tuwaze,na tufanye yote tunayofanya huku tukireflect Tanzania yetu.. Na si jamii fulani,watu fulani,viongozi fulani...

Ila sikatai kwamba suala la EPA,kwa mfano, kundi lililoathirika na scandal hiyo ni dogo kulinganisha na Taifa letu.. na scandals nyingine nyingi. Nimecite EPA kwa sababu,reason yako namba wahedi imemtaja Slaa..

Dr Kupeng'e..
Ifikie hatua tujaribu kuurudisha uzalendo wetu uliopotea.. Nasikia JKT ilikuwa ni chombo chenye kumfanya mtanzania kuwa mzalendo kwa Taifa lake.. Ila tupo tusioifahamu JKT,na bado tuna uchungu na nchi yetu!
 
Naomba watu tujadili mada maana
Hii ni act ambayo itasadia watu wengi huwezi jua na wewe unaweza kuwa mojawapo

Pole...

Si wa kulaumiwa wewe... Nakumbuka Nyerere alipokuwa akikemea jamii ya Kitanzania kuhusu rushwa,alisema..." ....kula rushwa ni sawa kula nyama ya mtu... Huwezi kuacha...!"
Yaani unatushawishi tukubaliane nawe kisa siku moja nasi tutakuwa mafisadi watarajiwa?!

Mi nina ndugu zangu wawili,nao wamekuwa implicated kwenye EPA scandal... Siwatetei hata kidogo...
 
Amani iwe juu yenu (Bwana awa nanyi)!
Nimesikitishwa na neno "Dr. Slaa kuiba" kutumika hapa! Dr. Slaa ni mtu mtakatifu kwetu! Si kwetu tu kama waamini wakatoliki bali kwa watanzania wote ambao wako tayari kupoteza maisha yao ili kulinda jina lake mbele ya umma ambao unasubiri kwa hamu wakati wake wa Urais katika taifa hili.
Ikumbukwe kwamba Dr. Slaa atakuwa mtumushi mwema kwa waTanzania zaidi ya Mwalimu, maana yeye amekulia Vatican mbele ya malezi ya Upadrisho uliotukuka kwa kizazi hiki. Kama Mwalimu Nyerere alifanikiwa kutaifisha mali za binafsi na kuzifanya za taifa, basi yeye atafanya zaidi yake ili kuliokoa agizo la Upadrisho dhidi ya makundi ya dini mpya za kilokole, ambazo kwa hakika zimepora waumini wetu waliokuwa chanzo cha mapato kutokana na fungu la kumi la Mungu.
Ikumbukwe kwamba serikali iliyopo madarakani inasimamiwa na serikali ya waMarekani ambao ndiyo chanzo cha makundi ya kilokole ambao nia yao (waasisi wa ulokole) ni kuwafanya waTanzania waogope raslimali zao kwa kisingizio cha ya Kaizar mpe Kaizar ili waendelee kupora madini yetu na mali asili zilizotusukuma tupambanane na wakristu wenzetu wa kiianglican chini ya ukoloni wa Muingereza.
inawezekana sheria hii ni nzuri kwa sababu itatusaidia sana, endapo Dr. Slaa ataingia kwenye nafasi yake mwaka 2015, itamkinga na watu wakorofi kama Maalim Sefu ambaye aliiba Nyaraka za serikali wakati wa Mwalimu Nyerere, hata hivyo aliweza kushughulikiwa vilivyo kwa kuwa tulikuwa na chama kimoja na demokrasia ilikuwa imefinywa. Na huko ndiko tunakotaka tuelekee ili kuwalinda watu wetu tunaowatarajia katika jukumu muhimu.
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

Lengo hapa ni nini? Kudhibit wizi wa data au kuficha madudu? Na nani alikwambia dr slaa huwa anaiba data? Huwa anapewa haibi bana. shame on you
 
Inaelekea wewe hujui kuhusu Data Protection Laws. Nadhani ungesoma zaidi juu yake maana hapa utaongea siasa zaidi ya legal analysis!
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

Kwa hiyo unataka nchi yetu iendelee kuibiwa baada ya watu walioko serekalini kuhongwa ili nchi yetu iendelee kuwa masikini pasipo mtu kusemea. Unataka tuendelee kudanganywa na viongozi wa serekali pasipo mtu kutuambi ukweli?
 
Contrary for you are pretend, i thought you have to learn more, for how to write the thread.
rahter than to make directly accusation to Dr. Slaa.
 
Sasa ni wakati wa bunge wetu kutunga au kusadia Tanzania kuwa na DATA Protection Act
hii itasadia watu kutunza nyaraka za serikali na nyaraka za watu binafsi.

1. Wanasiasa kama Dr Slaa wataacha mchezo wao wa kuiba nyaraka za serikali
2. Magazeti ya Shigongo yataacha kuandika maisha ya watu binafsi bila ridhaa yao
3. Gazeti la uhuru na Habari leo litaacha kuandika mambo ya watu binafsi
4. Data Protection act itaongeza security kwenye social networks kama JF kuzuia watu kuleta kuiba nyaraka za serikali na kuleta hapa

My take
Bunge lijalo lijiandae kuja na Data Protection Act maana nchi nyingi zinatumia isipokuwa tanzania

EXAMPLE:Data Protection Act 1998

Give me a break! Unasema ni sasa! Mbona kuna hadi tume ya maadili ya viongozi na mpaka kesho kutwa waakina Mramba, Yona na wenzao bado wanatesa tu ati ni wawekezaji wa ndani! Acts don't solve problems, ........
 
Back
Top Bottom