Uhusiano uliopo ni kwamba yeye ndio mwenye dhamana ya elimu hapa nchini.
Kwa muda mrefu elimu imeendelea kushuka bila hatua zozote madhubuti kuchukuliwa.
Walimu wameendelea kudharauliwa na serikali, vitendea kazi shuleni hakuna.
Kufeli kwa halaiki, wizi wa mitihani, ukosefu wa maabara, madawati,vitabu n.k..
Kufeli kwa mtoto wake ni kielelezo kizuri kushindwa kusimamia hata elimu ya mtoto wake.
Kama ameshindwa ya mtoto wake atapata wapi uwezo kuhakikisha Tanzania inatoa elimu bora kwa watoto wote na kuzuia hili tatizo la sasa la kufeli kwa halaiki. Ni lazima kwanza uwe kiongozi bora ndani ya familia yako ndio uweze kuwa kiongozi bora nje ya familia yako.
Wee Mtu Mzima, sielewi una utu uzima gani kama bado una mawazo ya mtoto wa nursery;
Laiti kwamba mtoto wa Rais angepata DIV 1, wewe ungekuwa wa kwanza kuandika hapa kuwa mtoto wa Rais amependelewa na Baba yake katumia madaraka aliyonayo ktk kuchakachua matokeo ya mwanae. Leo hii kapata DV IV unasema hayo unayoyasema. Huu ni UNAFIKI.
Mtoto wa rais kwani ni nani? ni mtoto km watoto wengine, wana mapungufu yao ya kibinadamu km watoto wengine. Ni bahati mbaya amezaliwa amejikuta ni mtoto wa Rais, angeweza kuzaliwa hata yoeahe yoyote yule.
Tabia ya kubagua watoto tuiache eti huyu ni mtoto wa Rais, kiasi kwamba mtoto wa kiongozi kupata DV IV ni sumu lkn kwa watoto wengine kupata DV IV ni sawa. Huu ni ulimbukeni.
Kama tunalazimika kujadili kufeli kwa Mwanaasha, tumjadili yeye binafsi; kwa nini amefeli wakati alikuwa na facilities zote, lakini tusimjadili baba yake wala kumtukana.
La kama una ushahidi kuwa Baba yake ndio sababu ya yeye kufeli kwa kuwa alikuwa hampatii facilities zinazotakiwa, hapo tutamjadili baba yake. BUT for this, is not fair kumtukana Rais na ni ulimbukeni.
Act as a sense man, and dont act like you have gone mental my frnd.