Cheza na Kikwete, yuko kotekote, Kijijini Msoga hapa

Mie sioni chochote hapa! Anafanya kazi ili APIGWE PICHA! Kama ni kufanya kazi kweli hawa watu waliomzunguka wa nini?

kusimama jukwaani tu anaanguka, kweli hapo atafanya kazi?, kwanza sina imani na afya yake. ****** wapi na wapi na kazi ngumu?.
 
Haya mkuu, hao jamaa waswahili si ndo wanatia kinywani kila mapato bila ku-invest, taaria ni kwamba wazo lake originally ni zuri lakini mifuko hiyo tutainunua kwa magendo yote hapa mjini!
 
Hamna kitu hapo, kambi ya ujasiriamali kwa mwezi, tena wanajifunza ujenzi, nenda VETA kaangalie wanajifunza huo ujenzi kwa muda gani. Halafu wanajitolea wakisha maliza mafunzo wanapewa vyeti vya kuombea kazi au wanaanza kujenga myumba na kuziuza, huu nim ujuha kabisa. Mkuu wa wilaya mwenyewe alikuwa hata hauelewi mradi akamwangushia nyumba bove mtaalamu! mkandarasi hajulikani! ******, wale vijana itakuwa wamemaliza shule za kata na wamefeli au hawana elimu kabisa huwezi kupoteza muda wako kimaandazi namna ile. Kwanza nina uhakika ukienda leo pale idadi yao imepungua na itaendelea kupugua. Uongozi wa kimaandazi kabisa, huyu mzee hajui hata cha kufanya sasa, kaamua kurudi home, sucks
 
hakuna kitu mujuni ni ukilaza tu, eti watafuatiwa na mafunzo ya kilimo. Hizi kambi zina nini, facilities gani zipo pale jana tu wametangaza njaa. Huyu jamaa pia si mjasiria mali. Hataweza kufuga hata kuku akimaliza muda wake ukiisha.
 
hakuna kitu mujuni ni ukilaza tu, eti watafuatiwa na mafunzo ya kilimo. Hizi kambi zina nini, facilities gani zipo pale jana tu wametangaza njaa. Huyu jamaa pia si mjasiria mali. Hataweza kufuga hata kuku akimaliza muda wake ukiisha.

akili yako haina akili.umebeba mzigo wa kichwa tu
 
Kavaa ngwanda juu na kofia kama kweli anapiga kazi lakini suruali na viatu inaonekana hakuwa pale kupiga kazi bali alikuwa anafanya kwa ajili ya show ya picture tu!!
 
kusimama jukwaani tu anaanguka, kweli hapo atafanya kazi?, kwanza sina imani na afya yake. ****** wapi na wapi na kazi ngumu?.

Kuna mzee mmoja nasikia alianguka chooni na mpaka leo mkono umekuwa kilema? anaitwa nani vile?
 
Ndugu yangu Mzizi wa Mbuyu, ni kweli Nyerere na Kagame Walifanya/anafanya kazi. HAWAKUIGIZA! Wanafanya kazi sambamba na watu siyo kwa kuzungukwa na watu! Ukiwa unapanda mti kwa mfano, huhitaji kutandikiwa jamvi, UWE tayari kuchanganyika na udongo! Kufanya kazi za mikono ni tabia inayotokana na malezi! Tujifunze KUFANYA kazi siyo KUOMBA Misaada! Mie bado nasisitiza: HAPA JMK ALIKUWA ANACHEZA TAMTHILIA!
 
310891_10150347374636225_33236101224_8477459_867023150_n.jpg


Baba wa taifa anapata shida kuwa na huyu bwana kushoto kwake, hakui kabisa kifikra. Mtu wanamna hii hafai kuwa kiongozi wa taifa la Tanzania lakini baada ya kufa ujanja ujanja ulimuweka Ikulu.
 
Back
Top Bottom