Recent content by aaamuk

  1. A

    JamiiForums Tanzania Duniani Hakuna Jipya

    Utasikia mtu analia alisomesha mpenzi kakimbia. ..Marudio. Mme anachepuka. ..Marudio Naomba ushauri biashara gani nianzishe. ...Marudio. Viongozi hawatekelezi ahadi. ..Marudio. Matumizi mabaya ya ofisi...Marudio Kila kitu. ..Marudio
  2. A

    JamiiForums Tanzania Lukuvi achana na bomoa bomoa, fuata ushauri huu

    Kama bomoabomoa inafika mpaka pugu. ...kilio kitakuwa kikubwa sana
  3. A

    JamiiForums Tanzania #KilimanjaroNitahesabiwa

    Tupia #Nimehesabiwa kama uko Kilimanjaro au unakusudia kuwa K'njaro kabla ya kuanza mwaka mupya 2016
  4. A

    JamiiForums Tanzania Duniani Hakuna Jipya

    Kila kitu marudio tu..
  5. A

    JamiiForums Tanzania JPM: Walipe Wastaafu EAC

    Kama ni KAZI TU BASI hata na kulipa Madeni ya wastaafu wa Africa Mashariki ni kazi tu. Tusiangalie mambo ya sasa wakati kuna wazee watanzania waliostaafu wanadai serikali miaka chungu nzima
  6. A

    JamiiForums Tanzania ushauri nataka kuacha chuo(udom).

    Kuna mtu alikuwa na shida kama wewe akawa anafua nguo za wanachuo wenzake kwa fedha kidogo "DOBI" aliweza kupata fedha ya kujikimu. Swala la ada fuata ushauri uliopewa na wadau. Ila issue ya misosi ondoa aibu kuwa dobi.
  7. A

    JamiiForums Tanzania Rwanda will not send troops to Burundi- Kagame

    Bara gani ushasikia vita ya wenyewe kwa wenyewe mwaka wa 50 sasa
  8. A

    JamiiForums Tanzania Rwanda will not send troops to Burundi- Kagame

    Mtu akisema waafrika hatuna akili povu linatutoka tunadai tunatukanwa. Sioni sababu ya kuuana wenyewe kwa wenyewe. ...lazima tuwe na desturi ya kuheshimu sheria na kujali utu. Burundi wanasahau violence haileti suluhisho ya migogoro, bali inaacha makovu yasiyofutika mioyoni mwa watu na...
  9. A

    JamiiForums Tanzania Serikali: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi itakuwa Siku ya kufanya Usafi nchini!

    Kipekee itasaidia tuonane na majirani zetu
  10. A

    JamiiForums Tanzania Diva hajitambui

    Hao watu wa dasalama utawaweza. ...wanasema wamenunua gauni kwa 3M alafu wanashindwa kulipa bili ya umeme. Dasalama mjini hapo
  11. A

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi iwe sikukuu ya usafi nchi nzima

    Kuna ka wazo na mimi nimekatoa humu JF nasubiri katekelezwe. ...
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ndoa uongo mtupu

    Kiongozi mbona kama umehemkwa hivii!
  13. A

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa umma hawaruhusiwi kumiliki biashara, mali na vitega uchumi kupitia taaluma zao?

    Mh.waziri nadhani anajua nini anachokifanya tumpe muda
  14. A

    JamiiForums Tanzania Wengi mna haka kaugonjwa

    Unakukuta mtu ulaya aliendaga miaka sita iliyopita. ...lakini mpaka leo anapost mipicha ...haka kaugonjwa nako mnatakiwa mpate tiba mpone
  15. A

    JamiiForums Tanzania Mikopo ya BAYPORT

    Wazo . ..miaka 3 ukiweka kidogo kidogo utakuwa na 5.5 bila riba. Sasa haraka ya nini. ..5.5 unapata nyumba lindi? Ogopa matapel. ..ukumbuke kuja kuleta mrejesho
Back
Top Bottom