Katika Wizara ambazo zimeshindwa kazi tokea uhuru wa nchi ni wizara ya Ardhi. Kasi ya upimaji wa ardhi na upangaji wa miji haikwenda sambamba na mahitaji halisi na ongezeko la watu. Hali iliyopelekea watu kujenga katika maeneo ambayo hayajapimwa.
Kwasasa takribani 80% ya wakazi wote katika miji na majiji wanaishi katika maeneo ambayo hayajapimwa, na wala hayakufuata mipango miji.
Cha msingi Lukuvi anzisha mradi Mkakati wa Urasimishaji wa Maeneo ya Makazi. Katika mradi huu maeneo yote ya makazi ambayo hayajapimwa, yatapimwa na kurasimishwa, ikiwa ni pamoja na kutoa hati. Wananchi watagharamia mradi huu kwa utaratibu wa kuchangia gharama, ambapo watalipia kiasi fulani kwa skwea meter ya eneo atakalo rasmishiwa.
Wananchi wachache ambao nyumba zao zitatakiwa kumegwa ili kuweka mitaa/barabara watalipwa fidia kutokana na fedha zitakazo kusanywa kutoka kwa wananchi.