Recent content by 999 chatta

  1. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Banda umiza nililo kuwepo Kuna mashabiki wa Chelsea walikuwa wanamtukana
  2. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mbona Odegard haujamweka hapo
  3. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Leo ndiyo mtaelewa kama Arsenal ana attacking mbovu au nzuri
  4. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Based ON True story

    Haya uchawi unatumikaje?? Na umejuaje unatumikaje?? Mnatuambia mtu anaweza akaenda kuiba sehemu bila kushtukiwa kwa uchawi, tukisema kwanini asitumie chumaulete akaibe benki? Unaambiwa uchawi hautumiki hivyo. Uchawi hakuna, hofu zenu tu na kulishana matango pori. Ungekuwa unafanya kazi kweli...
  5. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Based ON True story

    Kwa hiyo ukisikia ndiyo unapata confirmation kwamba uchawi upo??
  6. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Based ON True story

    Nikikuuliza kwanini tusimshawishi huyo Mzee akaenda bungeni akapiga wabunge wote, Kisha aende ikulu, nk. Utasema uchawi hautumiki hivyo. Nyie ndiyo mnahadithia watu kwamba mtu Fulani kapata pesa kwa njia za kichawi, lakini papo hapo utahadithia uchawi siyo kwa ajili ya kunufaika kiuchumi.
  7. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

    Kipaji hicho
  8. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Ndejembi ukakue, sio mwili ila akili, usiwe Samaki

    Sasa wewe unaona Kuna mtu hapo??
  9. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

  10. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Unyumbu ni mwingi sana
  11. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Kuna watu humu mulikuwa mnataka Odegard aondoke. Me nasemaga wachezaji siyo maroboti, wanapataga fatigue sometime. Mfano mwengine Saka, kacheza mechi nyingi. hayuko fit.lakini watu hawaelewi. Hata Zubimendi inatakiwa awe fully fit ndiyo tumjudge
  12. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    We Mpira hujui bora ukafatilie mieleka. Nyie mna mchezaji wa kumweka nje Skelly? Hembu kuweni serious
  13. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Hamna kitu hapo. Nimekaa pale
  14. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Chelkenge bwana, huyo Alonso atakaa msimu mmoja anaondoka, anakuja mwengine
  15. 999 chatta

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    wakuu tunaomba takwimu
Back
Top Bottom