Recent content by 92brow

  1. 92brow

    JamiiForums Tanzania Tanesco: Bwawa la Mwalimu Nyerere Halitapunguza Bei ya Umeme

    Hatari lakini salama!
  2. 92brow

    JamiiForums Tanzania Ukiona panya, popo, mende, mijusi wanazoea ndani mwako usipuuze. Huenda ni uchawi na chuma ulete umewekewa ndani

    Bila ya Shaka ni tangazo la kanisa jipya la kilokole
  3. 92brow

    JamiiForums Tanzania Fei Toto kwenda Azam sports club na hadithi za kobe aliyejificha kwenye nyumba yake

    Mkuu kwani unadhan Fei hana wanasheria? Ama unadhani Azam hawakufiri Kama ulivyofikiri? Uyanga wenu na usimba ndio inaoowaangusha, mchezaji mkimtaka nyie mnatumia umafya mkifanyiwa nyie mnaona mmeonewa. Ngoja dogo ale ice cream kidogo acha wivu.
  4. 92brow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mikasa/vituko vya lodge

    Mbona wengi mnaotoa ushuhuda ni wanaume wadada mpo wapi?
  5. 92brow

    JamiiForums Tanzania Kanuni kuu za kufuata unapoenda kuogelea

    Asante kwa elim mjarab.
  6. 92brow

    JamiiForums Tanzania NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Mlichowai kunifanyia bank ya NMB ni wizi na uhuni sitaki hata kuwasikia mpaka nimehama bank yenu wezi katika account za watu.
  7. 92brow

    JamiiForums Tanzania Ni wimbo gani unaoutafuta sana bila mafanikio?

    Natafuta nyimbo za msanii solotheng (1)Sauti yangu (2)Simu yangu (3)Bongo Trans
  8. 92brow

    JamiiForums Tanzania Huu wimbo unaitwaje?

    Bob Aizack nyimbo inaitwa nibebe mgongoni itafute utube.
  9. 92brow

    JamiiForums Tanzania Makamu Mkuu wa Shule asimamishwa kazi kwa tuhuma kujihusisha mapenzi na mwanafunzi wa kidato cha 4

    Wandugu ikumbukwe pia kuna watoto wakike ni mabingwa wa kutengeneza story kisa tu alikua akiadhibiwa Mara kwa Mara na mwalim.
  10. 92brow

    JamiiForums Tanzania Mume amfikisha mahakamani mkewe kwa kupeleka mshahara wake kanisani

    Hapo ndipo utakapojua nguvu ya makanisa ya kilokole, mkeo akitumbukia huko haaaaaaaaaaaaa!
  11. 92brow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

    Stuka mkeo analiwa papuchi na binamu zake.
  12. 92brow

    JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono Urusi kuchukua hatua za kijeshi Ukraine?

    Mkuu naunga mkono hoja lakini kuna swali fikilishi je vipi itakuwa iwapo marekani wataamua kutumia nguvu yao ya ushawishi kwa mataifa yenye nguvu kivita ikiwemo islaeli kuungana ili kumpiga mrusi? Hipi hasa nguvu ya mrusi kivita kushindana na mataifa haya? Na ikitokea mrusi ameshindwa hiyo...
  13. 92brow

    JamiiForums Tanzania Rais gani aliwahi kukubalika akiwa madarakani Tanzania?

    Hata yeye aliambiwa anashauliwa na mkewe kwenye uongozi wake.
  14. 92brow

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Viatu vizuri sana karibuni

    Asante mkuu location duka wapi? Tuje tuchague.
  15. 92brow

    JamiiForums Tanzania Special thread: Interesting (best) Quotes | Misemo yenye hekima ndani yake, Nukuu

    Mpumbavu anaishi kwa sababu ya busara ya mwelevu.
Back
Top Bottom