Recent content by 42_007

  1. 42_007

    JamiiForums Tanzania Stephen Hawking's Final Book Says There's 'No Possibility' of God in Our Universe

    Here is your Big Bang from Holly Quran 1400 yrs ago......so now u know. Atheists na Materialists tunawaangalia kwa jicho la huruma sana kwa upotevu wao juu ya uwepo wa ALLAH muumba wa mbingu na ardhi pamoja na vilivyomo..muweza wa yote, mjuzi wa yote mwenye khabari na kila jambo ulijualo na...
  2. 42_007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

    Sio kubabaika tatizo hatukulitegemea hili kutoka kwa jirani yetu wa toka nitoke...and infact tunafaham hamna uwezo huo wa kututoa kimabavu namna hiyo
  3. 42_007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

    Kai Green akiwa na hicho kiswahili nahama nchi aisee :D:D:D
  4. 42_007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jaguar: Wakenya kuwaondoa kwa kipigo Watanzania, Wachina, Waganda na Wapakistani nchini mwao

    Majirani zetu Wakenya..ndo mmefikia huku ?
  5. 42_007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 39 - Natafuta Mchumba

    Mzee baba umekuwa KAI GREEN wa kule Marekani?..........au umeamua kufurahisha baraza
  6. 42_007

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

    Unapoweka N unakata mzunguko wa mafuta kwenye engine kitu ambacho ni hatari kwa maisha marefu ya gari yako. ni sawa na kumkurupua mtu usingizini kisha ukamwambia akimbie.
  7. 42_007

    JamiiForums Tanzania Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

    Naam huu ndo ulaji wa mafuta wa hili Crown ..so kama pumzi yako ndogo nakushauri usikurupuke kulileta ndani..lakini kwa safari ndefu utafurahi na roho yako..maana mnyama anakupa burudani zote unazozitaka.
  8. 42_007

    JamiiForums Tanzania Mpira, Rushwa na Siasa: Kales Karia wa TFF atakamatwa muda wowote, labda asikanyage Misri

    Hahaa we ndo kabisaaa umeingia chaka mbaya...anaitwa WALLACE KARIA
  9. 42_007

    JamiiForums Tanzania Madhara ya kukimbia hesabu..naombeni kueleweshwa kuhusu hii invoice

    Chukua Total Case zidisha kwa Unit unapata jumla ya fedha husika kwa bidhaa husika...Pack ni idadi ya chupa katika case 1
  10. 42_007

    JamiiForums Tanzania Taja jina la shule ya msingi uliyosoma enzi hizoo

    Mvi zipo moja moja sana...halaf niko vile vile aisee...kila nnaekutana nae ananiambia sibadiliki ila wao sasa...
  11. 42_007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya's Elite Squad, RECCE squad victory at dusit..

    Mwenyezimungu awalinde majirani zetu...
  12. 42_007

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni Kitendo cha Nadra sana kuwaona Askari wa Uingereza Special Air Service (SAS) na Navy Seals

    Aisee...nazama chimbo zaidi
  13. 42_007

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na Bwana Inayat Kassam wa Kenya

    We acha tu kuna watu wanachuki ndani ya miyo yao tokea kuzaliwa...
  14. 42_007

    JamiiForums Tanzania Geita: Mtemi azikwa na watu hai wawili

    mamaee
Back
Top Bottom