Ulaji wa mafuta wa Crown v6 2.5l 12km/l

Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
16,124
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
16,124 2,000
Hapa umesema ukweli. Ndio maana hizo gari watu wanasema zinabwia. Hamna mtu ataendesha kwa principles ili uweze kupata l/km zilizoainishwa na mtengenezaji. Hio gari hapa Dar ukijitahidi Sana 6km/l.
Dar jam nyingi sana tatizo, yani hapa na hapa hasa rush hours ila wa mikoani wanapeta tu
 
B

BARRY

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Messages
417
Points
250
B

BARRY

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2009
417 250
M
Duhunaendesha gari kwa Rpm3 hio gari au Guta
Eti gea zinachelewa kuji ingejkwa hio ukivuta mafuta gea zinawahi kubadili na ndio sabb ya kunywa mafuta au sio
Hawa ndio madereva waliozoea kutingisha free kila aonapo mteremkohajui athari yake ni nini
Ulaji wa mafuta sio kukandamiza xleta wewe dereva wa bajaji
Ulaji wa mafuta ni kutokana na CC ya ENGINE,unaweza ukalinganisha CC engine No-ya Vitz na ya Crown
Vits CC yake haifiki hata Elf1
Wewe hujiulizi kwanini serikali inalipisha ushuru mkubwa wa gari kutokana na CC ENGINE?
Mkuu naona labda saumu kali
Mwongo, hujui unachoeleza
 
farharu

farharu

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Messages
275
Points
250
farharu

farharu

JF-Expert Member
Joined May 29, 2016
275 250
Mkuu ukinunua Crown ni sawa na umefunga nayo ndoa,ni hazifai kwa consuption ya mafuta
Tena ikiwa V6 hio ni ndoa hata kuuza huiuzi labda utauza bei ya bodaboda
Crown ikiwa Highway unaenda zaidi ya speed 110 hapo utaiona geji ya mafuta inavyopuliza
Kwa swala la Luxury,Full Options pia barabarani zinatulia,Hapo kwa Crown ni kiboko
Lkn kwa upande wa mafuta ndio ni kichef chefu hazifai
Pia
Brevis
Mark II GX 110 Grand
Mark II GX 100
Hizo zote hazifai kwasbb ni V6 kwa mafuta unaweza ukaiacha gari barabarani,hususa kwa town unatembelea gea kubwa kwasbb ya Jam hapo kila baada ya siku 2 lazma mafuta ya 40 elf yatahitajika ndio taa ya petrol izimike ktk gej ya mafuta
Kwa uhakika ingia App ya Kupatana utazikuta hizo gari zikiwa bado safi kabisa lakini bei zake zinavyouzwa hazizidi Milion4
Usitudanganye bwana, hakuna lolote unalolijua..
 
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2014
Messages
14,699
Points
2,000
mng'ato

mng'ato

JF-Expert Member
Joined Oct 27, 2014
14,699 2,000
Nadhani Mark II GX 110 Grand,Mark II GX 100 hawana V6 wana i6.

Mkuu ukinunua Crown ni sawa na umefunga nayo ndoa,ni hazifai kwa consuption ya mafuta
Tena ikiwa V6 hio ni ndoa hata kuuza huiuzi labda utauza bei ya bodaboda
Crown ikiwa Highway unaenda zaidi ya speed 110 hapo utaiona geji ya mafuta inavyopuliza
Kwa swala la Luxury,Full Options pia barabarani zinatulia,Hapo kwa Crown ni kiboko
Lkn kwa upande wa mafuta ndio ni kichef chefu hazifai
Pia
Brevis
Mark II GX 110 Grand
Mark II GX 100
Hizo zote hazifai kwasbb ni V6 kwa mafuta unaweza ukaiacha gari barabarani,hususa kwa town unatembelea gea kubwa kwasbb ya Jam hapo kila baada ya siku 2 lazma mafuta ya 40 elf yatahitajika ndio taa ya petrol izimike ktk gej ya mafuta
Kwa uhakika ingia App ya Kupatana utazikuta hizo gari zikiwa bado safi kabisa lakini bei zake zinavyouzwa hazizidi Milion4
 
E

Eminentia

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,373
Points
2,000
E

Eminentia

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,373 2,000
Mkuu ukinunua Crown ni sawa na umefunga nayo ndoa,ni hazifai kwa consuption ya mafuta
Tena ikiwa V6 hio ni ndoa hata kuuza huiuzi labda utauza bei ya bodaboda
Crown ikiwa Highway unaenda zaidi ya speed 110 hapo utaiona geji ya mafuta inavyopuliza
Kwa swala la Luxury,Full Options pia barabarani zinatulia,Hapo kwa Crown ni kiboko
Lkn kwa upande wa mafuta ndio ni kichef chefu hazifai
Pia
Brevis
Mark II GX 110 Grand
Mark II GX 100
Hizo zote hazifai kwasbb ni V6 kwa mafuta unaweza ukaiacha gari barabarani,hususa kwa town unatembelea gea kubwa kwasbb ya Jam hapo kila baada ya siku 2 lazma mafuta ya 40 elf yatahitajika ndio taa ya petrol izimike ktk gej ya mafuta♂
Kwa uhakika ingia App ya Kupatana utazikuta hizo gari zikiwa bado safi kabisa lakini bei zake zinavyouzwa hazizidi Milion4♂
ukisikiwa unasema hivo utachekwa unataka litumiaje mafuta yani...angalia ukubw wa engine uzito Wa gari then unataka liende 15km/L na ni petrol ?? uko out of ur mind ?? gari zote saizi ya crown ndo ulaji wake huo achen sema crown inKula mafuta ....weka brevis weka Nissan fuga.. crown na zingne zaizi hiyo kisha ndo useme crown inakula mafuta sio kucompare crown na ist kina rav4 nk
 
E

Eminentia

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2014
Messages
1,373
Points
2,000
E

Eminentia

JF-Expert Member
Joined Jun 5, 2014
1,373 2,000
Duhunaendesha gari kwa Rpm3 hio gari au Guta
Eti gea zinachelewa kuji ingejkwa hio ukivuta mafuta gea zinawahi kubadili na ndio sabb ya kunywa mafuta au sio
Hawa ndio madereva waliozoea kutingisha free kila aonapo mteremkohajui athari yake ni nini
Ulaji wa mafuta sio kukandamiza xleta wewe dereva wa bajaji
Ulaji wa mafuta ni kutokana na CC ya ENGINE,unaweza ukalinganisha CC engine No-ya Vitz na ya Crown
Vits CC yake haifiki hata Elf1
Wewe hujiulizi kwanini serikali inalipisha ushuru mkubwa wa gari kutokana na CC ENGINE?
Mkuu naona labda saumu kali
ww ndo jinga kabisa mbona Extrovert kaelezea vizuri ...kwamba hapo hujaelewa nn yani

mguu wako ukiwa light gia zinawah jibadil tena kwa rpm ndogo sana hata isifike kwenye 2 ukibofya unachelewa badil lina assume unataka kimbia na ulaji unakuwa mkubwa pia hata ukiendesha vits bado litakula kama rav4 wakati ni dogo!!
 
komanyahenry

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2017
Messages
470
Points
500
komanyahenry

komanyahenry

JF-Expert Member
Joined Sep 15, 2017
470 500
Duhunaendesha gari kwa Rpm3 hio gari au Guta
Eti gea zinachelewa kuji ingejkwa hio ukivuta mafuta gea zinawahi kubadili na ndio sabb ya kunywa mafuta au sio
Hawa ndio madereva waliozoea kutingisha free kila aonapo mteremkohajui athari yake ni nini
Ulaji wa mafuta sio kukandamiza xleta wewe dereva wa bajaji
Ulaji wa mafuta ni kutokana na CC ya ENGINE,unaweza ukalinganisha CC engine No-ya Vitz na ya Crown
Vits CC yake haifiki hata Elf1
Wewe hujiulizi kwanini serikali inalipisha ushuru mkubwa wa gari kutokana na CC ENGINE?
Mkuu naona labda saumu kali
Nini madhara ya kutumia N gear kwenye mtelemko?
 
L

lordchimkwese

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2015
Messages
382
Points
500
L

lordchimkwese

JF-Expert Member
Joined Nov 16, 2015
382 500
Ukiweka N maana yake umetenganisha injini na gia box so injini inakua haipeleki tena power kwny matairi kwa hyo tairi zinakua zinazunguka kila moja kimpango wake kupoteza muelekeo inakua rahisi zaidi..

Hasara ingine ukiweka N unamaliza breki sababu itabd utumie breki kwa sana kusimamisha gari tofouti na likiwa kwny gia ukiweka gia injini inakusaidia kusimamisha gari linakua zito
Nini madhara ya kutumia N gear kwenye mtelemko?
 
42_007

42_007

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
1,573
Points
2,000
42_007

42_007

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
1,573 2,000
7-9km/l at average, hio ni kwa economical driving. Ukiendesha ki sifa (kwa wale wa overtake zisizo lazima na kushuka tuta anatoka na speed mia) ndio utapigwa 4.5-6km/l ama kama matunzo hafifu!
Naam huu ndo ulaji wa mafuta wa hili Crown ..so kama pumzi yako ndogo nakushauri usikurupuke kulileta ndani..lakini kwa safari ndefu utafurahi na roho yako..maana mnyama anakupa burudani zote unazozitaka.
 
42_007

42_007

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2015
Messages
1,573
Points
2,000
42_007

42_007

JF-Expert Member
Joined Mar 10, 2015
1,573 2,000
Nini madhara ya kutumia N gear kwenye mtelemko?
Unapoweka N unakata mzunguko wa mafuta kwenye engine kitu ambacho ni hatari kwa maisha marefu ya gari yako. ni sawa na kumkurupua mtu usingizini kisha ukamwambia akimbie.
 
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined
Feb 29, 2016
Messages
16,124
Points
2,000
Extrovert

Extrovert

JF-Expert Member
Joined Feb 29, 2016
16,124 2,000
Naam huu ndo ulaji wa mafuta wa hili Crown ..so kama pumzi yako ndogo nakushauri usikurupuke kulileta ndani..lakini kwa safari ndefu utafurahi na roho yako..maana mnyama anakupa burudani zote unazozitaka.
safari ndefu ndio raha ya 6 cylinders
 
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2011
Messages
4,311
Points
2,000
Samboko

Samboko

JF-Expert Member
Joined Oct 30, 2011
4,311 2,000
Niwaambie sasa, niliwahi fanya research ndogo kuhusu gari aina ya Toyota Progress Engine CC 2400, nilichofanya baada ya kukabidhiwa tu na Muuzaji nikaipiga full Tank lita around 60, nikatembea nayo muda wa siku tatu then nikarud nayo petrol station nikajaza tena full tank nikapiga hesabu lita nilizotumia kwa siku zile 3. Then nikachukua utofauti wa kilometa wa siku nakabidhiwa gari na siku ile ya tatu niliyoweka tena mafuta nikagundua kuwa kwa kila lita 1 katika zile siku 3 nimetembea km 6.5. Na huu ndo ulaji halisi wa gari zote za CC 2400 hadi 2900 km gari itatembea chini ya km 80 kwa saa Muda mwingi.
Uko sahihi mkuu, nilishachunguzaga sana hilo
 
Tulimumu

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2013
Messages
11,394
Points
2,000
Tulimumu

Tulimumu

JF-Expert Member
Joined Mar 11, 2013
11,394 2,000
Mi watu huwa mnanishangaza sana mnapolalamika juu utumiaji wa mafuta. Unapotaka kununua gari nunu gari unaloweza kumudu kulihudumia in terms of Service zake, spare zake, bima , ulaji wa mafuta. Hii kulalamika kuwa gari fulani inakunywa mafuta ni kununua gari ambayo huna uwezo nayo. Watu wana magari yana 6000cc. Sasa utasemaje 2500 cc inakula. Cha msingi wewe kama ni wa duet ninua duet. Kama ni wa boda boda nunua hiyo. Usilazimishe kununua usichoweza kuhudumia. period
Umenena vema kiongozi
 
ipyax

ipyax

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2010
Messages
1,863
Points
2,000
ipyax

ipyax

JF-Expert Member
Joined Nov 1, 2010
1,863 2,000
Wabongo hatuna hela jamani yani V6 haitakiwi kutuliza machozi kwenye mafuta,ingekua V6 twin turbo je? V8? Tununue magari tunayoweza kuyamudu kwenye matumizi.
 
Forum statistics

Threads 1,303,749
Members 501,127
Posts 31,491,672
Top