Recent content by 2la

  1. 2

    JamiiForums Tanzania Baby come back. . .

    Ni ulimbukeni wa mawazo na uvivu wa kufikiri....
  2. 2

    JamiiForums Tanzania Kipi kisasi kizuri kwa msaliti wa mapenzi?

    Mpotezee, muuaji huyo ,achana naye na ujisahaulishe pretend as if u never knew him or met him. Xxxxxxnz kabisa huyo...
  3. 2

    JamiiForums Tanzania Wanawake Wenye ndevu wana utofauti Wa kipekee

    Ni homon zinakuwa zimezidi
  4. 2

    JamiiForums Tanzania Haniridhishi jamani

    Asali na karanga mbichi, supu ya pweza, tende na maziwa. hivi vitu ni suluhisho la tatizo lako. al ze best.
  5. 2

    JamiiForums Tanzania ushauri

    mpotezee, usimcall wala kumtext, akikutafuta mwambie hauko: ltayari kuwa matonya.
  6. 2

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wenu

    21yrs! come on! u r still young for those staffs. i bet u r still studying, concentrate on ur studies, mpende Mungu wako, achana na mapenzi.
  7. 2

    JamiiForums Tanzania Mama yako akiwa na Jamaa unajisikiaje?

    Mhh! msiwanyanyapae wamama mbona wababa wanatembea na watoto wao? kunya anye kuku akinya bata kaharisha.
  8. 2

    JamiiForums Tanzania Waraka wa wazi juu ya Mahusiano ya Wakristo na Waislam kujenga amani ...

    jamani mbona makanisa yanachomwa na watu wazima na wakristo wamenyamaza kimya, mihadhara ya waislam full kuuponda ukristu na wamekaa kimya. nasikia huyo aliyekojolea ni mtoto wa miaka 12. come on! he is just a kid! aelezwe kosa lake kwa upendo na asamehewe.
  9. 2

    JamiiForums Tanzania sema kitu hapa..

    Mpenzi wa kwanza atukuwa bongo, wanaweza wafilipino wanaopendana tangu chekechea hadi uzeeni.
  10. 2

    JamiiForums Tanzania sema kitu hapa..

    Huyo wa zamani ni goldiga na ndomana siko naye. mla mla leo, mla jana kala nini?
  11. 2

    JamiiForums Tanzania Sex is an art

    Mmh, simo mchanga wa pwani huo......
  12. 2

    JamiiForums Tanzania Nisipofanya mapenzi kwa muda mrefu

    Hakuna madhara yoyote we potezea kitu sex, kitu ukikifikiria ndo kitakusumbua.
  13. 2

    JamiiForums Tanzania Tiba Ya Kutopenda!

    Wote hampendani, sijaona sababu ya kuachana hapo. love can change some1, hajabadilika, hakupendi. na wewe umeshindwa kumuaccept kwa jambo dogo kama hilo je utaweza kuaccomodate weakness nyingine kubwa.? hampendani, period. kama kweli unampenda mrudie na umwambie kuwa huwezi ishi bila yeye alafu...
  14. 2

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya simu katika Mahusiano

    Jamani, mi wangu haninyimi simu yake ila nikiipekuwa sikuti msg hata nilizotuma mwenyewe, kwa kweli huyu ni professional phon user.
  15. 2

    JamiiForums Tanzania VICHAPO vya MAN UTD vinaniharibia UHUSIANO Wangu! Wapi RVP?

    Mwambie kijana akajitegemee jamani, by the way, ukweli daima unakuweka huru.
Back
Top Bottom