Waraka wa wazi juu ya Mahusiano ya Wakristo na Waislam kujenga amani ...

naona umeamua kudeki bahari! kazana ila chunga siku ya kiama isikukute bado wadeki. TUDUMISHE UPENDO NA AMANI!
Bahari gani wewe nalo deki mtaishia kukwepa ukweli, walio andika bible wanasema Jesus sio Mungu, afu ukweli wakristo wengi mpaa mda huu hamjui nani Mungu wenu....Sa Mungu wenu ni nani....Jesus au baba yake? na vipi yule mwingine roho mtakatifu tumuweke wapi...afu kuna news mpya tunazisikia Jesus aliowa ni kweli :biggrin:
 
kichaa sio lazma aokote makopo.nyie ndio mnaharbu din ya ndugu zetu na rafiki zetu waisilamu.ligi ya bila sababu.kama ukisikiliza yale maneno aliyoyasema jana shehe kwenye taarfa ya habar yatakusaidia.yaan wewe haufah kwa ukristo hata uisilamu pia
Kwani kuitwa kichaa ni ajabu siku hizi, ukiwa mkweli lazima uitwe kichaa :poa
 
mr fazaa ni kweli inasemekana uislamu ni fastest growing religion lakin kuna vitu viwili njia ya uzima na njia ya mauti kukubali Kristo au kumpinga Kristo ukiwa kwa muhhamad we ni mpinga kristo tu,
ukuaji wa uislam ni kero kama ukuaji wa maovu mengine kwa sasa kuna 1 bn moslem around the world je wakiongezeka itakuwaje, kuongezeka kwa waumini si jambo la kujisifia hata free mason wanaongezeka wauaji wanaongezeka waongo wanaongezeka n.k .
ukisema Yesu si mungu wewe hujui kusoma biblia and bible is spiritual not like quran ukitafuta statement moja inayosema Yesu ni Mungu utakuwa hujui kuwa Yesu alitumia more parable in his sermon.
makundi mengi ya kigaidi ni ya kiislam more than 90% in the world.
very chaotic religion in the world.
i pray that islam banish in dar es salaam and any part in our country.
 
Last edited by a moderator:
Sawa kwanza lazima wakristo wanza kujifunza kuheshimu waislam, wawache tabia za kumsingizia mtume Muhammad uwongo na waheshimu kitabu chetu kitakatifu, uliona wapi muislamu akaikojolea bible?

Any way una point nzuri inabidi kila mtu aweke heshima mbele.

nijuavyo mimi dini haitamfanya mtu airithi mbingu, kwani Mungu alishasema dini safi ni hii kutazama wagonjwa kusaidia yatima na wajane na kujitenga na ya dunia usitende dhambi. so uwe mwislam ama mkristo mtaishia tu kuekeana chuki pasi sababu za msingi.
 
mr fazaa ni kweli inasemekana uislamu ni fastest growing religion lakin kuna vitu viwili njia ya uzima na njia ya mauti kukubali Kristo au kumpinga Kristo ukiwa kwa muhhamad we ni mpinga kristo tu,
ukuaji wa uislam ni kero kama ukuaji wa maovu mengine kwa sasa kuna 1 bn moslem around the world je wakiongezeka itakuwaje, kuongezeka kwa waumini si jambo la kujisifia hata free mason wanaongezeka wauaji wanaongezeka waongo wanaongezeka n.k .
ukisema Yesu si mungu wewe hujui kusoma biblia and bible is spiritual not like quran ukitafuta statement moja inayosema Yesu ni Mungu utakuwa hujui kuwa Yesu alitumia more parable in his sermon.
makundi mengi ya kigaidi ni ya kiislam more than 90% in the world.
very chaotic religion in the world.
i pray that islam banish in dar es salaam and any part in our country.

kimsingi kabisa Mungu haoni shida kuua watu wote kwenye uso wa dunia akabaki na wale anaowataka, na nimjuavyo Mungu wa ukweli haitaj mtu kumtetea wala kumsaidia yeye ni mtoshelezi. wala hajawaumba waislamu wote dunian pasi sababu za msingi wala yeye kwa wivu alionao huwez kuniambia atakubal kuwamaliza waislam wote bila kuona huruma.
 
Bahari gani wewe nalo deki mtaishia kukwepa ukweli, walio andika bible wanasema Jesus sio Mungu, afu ukweli wakristo wengi mpaa mda huu hamjui nani Mungu wenu....Sa Mungu wenu ni nani....Jesus au baba yake? na vipi yule mwingine roho mtakatifu tumuweke wapi...afu kuna news mpya tunazisikia Jesus aliowa ni kweli :biggrin:
Mungu ni wa kuheshimiwa sana barazani pa wenye mizaha, na dhambi zote zinasameheka isipokuwa ya kumkashfu Roho Mtakatifu.
 
mr fazaa ni kweli inasemekana uislamu ni fastest growing religion lakin kuna vitu viwili njia ya uzima na njia ya mauti kukubali Kristo au kumpinga Kristo ukiwa kwa muhhamad we ni mpinga kristo tu,
ukuaji wa uislam ni kero kama ukuaji wa maovu mengine kwa sasa kuna 1 bn moslem around the world je wakiongezeka itakuwaje, kuongezeka kwa waumini si jambo la kujisifia hata free mason wanaongezeka wauaji wanaongezeka waongo wanaongezeka n.k .
ukisema Yesu si mungu wewe hujui kusoma biblia and bible is spiritual not like quran ukitafuta statement moja inayosema Yesu ni Mungu utakuwa hujui kuwa Yesu alitumia more parable in his sermon.
makundi mengi ya kigaidi ni ya kiislam more than 90% in the world.
very chaotic religion in the world.
i pray that islam banish in dar es salaam and any part in our country.
Aisay wapi imeandikwa nisipokuwa mkristo siendi peponi, na kitabu gani kilicho andika :biggrin:

F.Y.I hakuna dini itakayo mpeleka mtu peponi zaidi ya uislam na hii
The prophet Muhammad, peace be upon him, said, "I swear by the One who holds my life in His Hands (Allah) there is none amongst the Jews and Christians who hears about me and then dies without believing in the message with which I have been sent (monotheism of Islam - believing Allah is One and we must submit ourselves to His Will on earth), except he will be of the people of the Fire (Hell).
[Sahih Muslim, Book of Faith, Vol. 1, hadeeth 240]

Allah also says:

"Inna allatheena kafaroo lan tughniya AAanhum amwaluhum wala aw laduhum mina Allahi shay-an wa olaaa-ika as-habun-nari-hum feeha khalidoon."
(Surely, those who reject Faith (disbelieve in Allah and in Muhammad, peace be upon him), neither their properties, nor their offspring will benefit them anything against Allah. They are the dwellers of the Fire, therein they will live forever.)
[Surah Al Imran 3:116, tafseer At-Tabari, Vol. 4, Page 58]
This means that anybody could be in Paradise as long as they were doing "God's Will" and not worshipping something other than Almighty God....Sa nyie wa ndugu zetu wakristo mna abudu binadamu kama sisi..sio Mungu, mana Jesus naye alikuwa anamuabudu Mungu ambaye Muhammad ndio anasema tumuabudu huyo huyo...Katika
Isaiah inasema
Jesus never was God, and never will be. In the Bible, God declares: "Before me no god was formed, nor will there be one after me." (Isaiah 43:10).
Sa nyie mnasema Jesus Mungu pia

Tazama hii Quote pia [/QUOTE]
John was sure that no one had seen God, although he knew that many people had seen Jesus (see John 1:18 and 1 John 4:12). In fact Jesus himself told the crowds, that they have never seen the Father, nor have they heard the Father's voice (John 5:37). Notice that if Jesus was the Father, his statement here would be false. Who is the only God in John's Gospel? The Father alone.
Qur'an commands Christians to judge by the Gospel:

Qur'an 5:47-"Let the people of the Gospel judge by what Allah hath revealed therein. If any do fail to judge by (the light of) what Allah hath revealed, they are (no better than) those who rebel."​
Mtabakia hivyo hivyo kuimba nyimbo kanisani zisizo wasaidia kitu, hakuna sehemu Yesu kasema kama wewe hufati ukristo huendi peponi.

Muhammad angekuwa shetani kama mnavyo sema angesema tumuabudu yeye peke yake, lakini amesema tumuabudu Mungu ambaye ni Mungu mmoja tu hakuna zaidi yake na ndo Yesu alikuja na mafunzo hayo hayo tu.
 
nijuavyo mimi dini haitamfanya mtu airithi mbingu, kwani Mungu alishasema dini safi ni hii kutazama wagonjwa kusaidia yatima na wajane na kujitenga na ya dunia usitende dhambi. so uwe mwislam ama mkristo mtaishia tu kuekeana chuki pasi sababu za msingi.
We jidanganye tu, kama hutafuti ukweli utaishia kuwa kuni za moto :biggrin:
 
Mungu ni wa kuheshimiwa sana barazani pa wenye mizaha, na dhambi zote zinasameheka isipokuwa ya kumkashfu Roho Mtakatifu.
Roho mtakatifu Sio mungu, yeye anafikisha ujumbe wa Mungu tu, nasijamkashifu, wapi nimemkashifu, nimesema Jesus na Roho mtakatifu sio Miungu, Jesus ni binadmu tu kama sisi sema yeye ni Prophet kama kina Ibrahim, Musa na muhammad :biggrin:
 
fazaa bana,unapoteza muda kujidanganya na kudanganya watu!Kwanini usitulie na dini yako ukawaacha wengine na dini yao?
 
Last edited by a moderator:
fazaa bana,unapoteza muda kujidanganya na kudanganya watu!Kwanini usitulie na dini yako ukawaacha wengine na dini yao?
Na nani kasema sijatulia na dini yangu mbona Im proud to be muslim Allahamdulillah, lakini anaye kuja na dini ya uwongo lazima nimtulize mashetani yake :poa

The true religion with Allah is Islam. (Qur'an, 3:19).
And whoever desires another religion than Islam, it shall not be accepted of him." (Qur'an, 3:85) :poa
 
jamani mbona makanisa yanachomwa na watu wazima na wakristo wamenyamaza kimya, mihadhara ya waislam full kuuponda ukristu na wamekaa kimya.
nasikia huyo aliyekojolea ni mtoto wa miaka 12. come on! he is just a kid! aelezwe kosa lake kwa upendo na asamehewe.
 
Habari za leo Wana JF?

Binafsi si mpenzi wa kuandika nyaraka lakini nimejikuta nalazimika kuandika waraka huu kwa uchungu mkubwa kutokana na mambo ambayo nimeyasikia na kuyashuhudia kupitia vyomba vya habari juu ya mpasuko mkubwa wa kimahusiano ambao umeanza kujitokeza kati ya baadhi ya waumini wa dini za Kiislam na Kikristo.

Kwa siku za hivi karibuni tumesikia vurugu nyingi kati ya waumini wa dini fulani na polisi, waumini fulani na kuchomeana majengo ya ibada, waumini fulani na udhalilishaji wa vitabu vya dini nyingine nk. Hili si jambo la kuchekewa hata kidogo maana halina mwisho mzuri. Inawezekana likawa limepandikizwa na baadhi ya watu kwa manufaa yao binafsi na ndiyo maana nimeamua kurudi hapa kuomba viongozi wa dini zetu wafanye jambo mapema kutunusuru na kutupa amani ya kudumu.

Kudumisha amani napendekeza wapenda amani wote na viongozi wetu wa dini kutufundisha sisi waumini wao mambo yafuatayo

  1. Kuheshimu dini na imani za watu wengine
  2. Kila muumini na afundishwe namna ya kuvumilia wafuasi wa imani nyingine na kutumia vyombo vya sheria kuchukua hatua kwa matukio ambayo yanaonekana yana lengo la kudhalilisha imani nyingine
  3. Kufundisha mafundisho ya namna ya kumsaidia muumini kuishi maisha ya kumpendeza muumba wake badala ya mafundisho ya chuki dhidi ya watu wa imani tofauti
  4. Waumini tufundishwe kuwa vurugu, chuki, mapigano, vita, hasira na mengineyo mengi yanayofanana na hayo kwa namna yeyote ile hayataweza kutusaidia kuondokana na tatizo tulilonalo sasa na badala yake hujenga chuki zaidi na mbaya zaidi kwa watoto wetu ambao ndio taifa la kesho. Hapa kuna hatari ya kujenga taifa lenye chuki, lisilo na amani na kukosa upendo.
  5. Kwa namna yeyote ile, hakuna dini inayoweza kuiondoa dini nyingine ndani ya nchi hata kama kutatokea vita ya miaka hamsini na zaidi, hivyo kupigana vita, kuchomeana nyumba za ibada na pengine hata kuuana ni kudhulumu uhai na nafsi za watu zisizo na hatia na kujiweka kwenye umasikini ambao hauna tija ya namna yeyote.
  6. Migogoro ya kidini huishia kwenye kuitia nchi kwenye umaskini badala ya kupata suluhu ya dini maana mwisho wa siku suala la imani halihitaji nguvu, linahitaji convincing power.
  7. Tujifunze kutoka kwenye nchi zenye migogoro ya kivita tuone kama kuna imani moja imefanikiwa kuiondoa imani nyingine au ni faida gani waliyoipata katika hivyo vita kama siyo kupoteza ndugu zao na kujitupia kwenye shimo la umaskini!!! Tujifunze toka Nigeria na nchi nyingine jamani!
  8. Kupiga marufuku mikutano ya wazi inayofanywa na wafuasi wa dini nyingine kuchambua vitabu vya dini nyingine na pia malumbano yeyote yale baini ya dini mbili tofauti.

Nawashukuru baadhi ya viongozi wa dini hasa wa Kiislam ambao wamediriki kutoa matamko ya wazi ya kudumisha amani na kuvumilia, nawatakia kheri kwa msimamo wao wa kujali na kuheshimu imani na amani ndani ya nchi.

Pia nawapongeza baadhi ya viongozi wa dini ya Kikristo kwa kuhubiri amani wazi wazi na kuwafundisha waumini wao kuwa wavumilivu na kutokushambulia wengine.

Watanzania, tuwe makini na watu wanaotaka kutugawa, tukumbuke kuwa hakuna nchi hata moja iliyowahi kuendelea au kufaidika kwa chuki na ugomvi wa kidini, na pia hakuna nchi iliyofanikiwa kuifuta dini nyingine ndani ya nchi na kupata amani.

Mwisho ningependa watu wote wausome waraka huu wakiwa na mtazamo wa kuisaidia nchi ikae kwa amani na siyo kuleta malumbano ya kidini yasiyo na tija ndani ya uzi huu, SIPENDI!

Nawapenda Watanzania wote na napenda tuishi kwa amani na upendo,

Nawakilisha,

HorsePower Kufakunoga.
October, 2012

******** Naomba usichangie, soma kwa faida yako *****
Katika vipengele vya jukwaa hili vya MAHUSIANO, MAPENZI na URAFIKI umetumia kipengele gani hapa kuiweka hii topic kwenye hili Jukwaa??
 
Praise be to the God and Father of our Lord
Jesus Christ, who has blessed us in the heavenly realms with every spiritual blessing in Christ.
For he chose us in him before the creation of the world to be holy and blameless in his sight. In love he predestined us for adoption to sonship through Jesus Christ, in accordance with his pleasure and will to the praise of his glorious grace, which he has freely given us in the One he loves.
Dear friends,
Let us love one another, for love comes from God. Everyone who loves has been born of God and knows God.

Whoever does not love does not know God, because God is love.
This is how God showed his love among us: He sent his ONE and ONLY SON into the world that we might live through him. This is love: not that we loved God, but that he loved us and sent his Son as an atoning sacrifice for our sins.
Dear friends,
since God so loved us, we also ought to love one
another. No one has ever seen God; but if we
love one another, God lives in us and his love is
made complete in us.
 
Ndugu, iweni na nia iyo hiyo iliyokuwa ndani ya Kristo ambaye hapo mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu lakini hakuona kule kuwa SAWA NA MUNGU ni kitu cha kushikamana nacho, akachukuwa namna ya mtumwa akawa mtii hata mauti naam mauti ya Msalaba.

Bwana Yesu Ukajitwalie Utukufu - AMEN.
 
Kwa yaliyotokea leo naunga mkono ile movie ambayo ndani ina hesabu inayosema MAN+X=ISLAMIC TERRORISTS

Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom