Tiba Ya Kutopenda!

Majigo,
Nakuomba Njoo Kwangu Utulie na Mimi.
Me Sivaagi Suruali,
Navaaga Magunia na Madabwada tu.

Ila kiukweli ni ngumu sana kwa unayotaka.
Coz kumbuka ameanza vaa tangu hamfahamiani.
Ila yote kwa yote kama Anakulindia Heshima Yako Mbele ya Jamii ya nini Umuache?
Utakuwa kuna Lingine Unatuficha Mkuu.

hahahahah!
kuna Siku Niliomba Tuonane,Yeye Akaenda Kwenye Mambo Yake Bila Kunitaarifu,Mtu Mzima Nikawa Roho Juu..Yeye Akanuna,Nikajishusha Mimi Na Kumuomba Radhi(Nilijifanya bwegeh)
 
Last edited by a moderator:
Nivigumu kuamini kuwa hata suruali kuvaa alianza baada ya kuwa nawe!
Ndio maana nikasema kila jini lina mti wake!
Kama Angekuwa Mvaaji Wa Suruali Wala Nisingethubutu Kumtongoza!
Ishu Hapa Sio Uvaaji, Bali Kutoshirikishana Na Kuelewana Ktk Kilicho Bora!
 
ndio,Tena Sana Tu!
Akaniambia hamna Na anaridhka Nami Kwani Ndie Chaguo Lake!
Nipeni Mbinu Jamani!

ok,sa bro kumbuka when ur dealing with women its like dealing with young people at foolish age so inasaidia ka unaweza control urself.
Pia nnachokiona una mind yeye kuvaa bila kukutaarifu,kama ni ilo just forgive maana kusameheana kwenye mahusiano ni very productive lakini pia vitu kama patience,self control,listening b4 listened,trustworthy.......n.k are very helpful to make man play his role but pia kumbuka things changes gradual na vingine sio mpaka upige kelele au ufoke,unavichukua as if itc normal kisha unadeal navyo taratibu wakati mwingne sio lazima hata useme ile heshima na mazingra uliyomwekea anajikuta anakua vile unataka.
Ebu ona vile unapata shida unafikiria vi2 ambayo sio njema kwa gentleman kama wewe,ila kama dealing with the problem ni more painful kuliko vile uko sasa basi ningesema una afadhari lakini vinginevo rudi na usolve iyo mambo ni simple but not easy
 
Nivigumu kuamini kuwa hata suruali kuvaa alianza baada ya kuwa nawe!
Ndio maana nikasema kila jini lina mti wake!

RUTTASHOBORWA Unanipaga Mbinu Nyingi Sana Wewe,Nifanyeje Ili Anirudie Au Mimi Nimsahau?
 
RUTTASHOBORWA Unanipaga Mbinu Nyingi Sana Wewe,Nifanyeje Ili Anirudie Au Mimi Nimsahau?

Muombe ruhusa yake akukabidhi hubby wake ili akupunguzie machungu kwa muda mfupi alioondoka Mpenzi wako.
 
ok,sa bro kumbuka when ur dealing with women its like dealing with young people at foolish age so inasaidia ka unaweza control urself.
Pia nnachokiona una mind yeye kuvaa bila kukutaarifu,kama ni ilo just forgive maana kusameheana kwenye mahusiano ni very productive lakini pia vitu kama patience,self control,listening b4 listened,trustworthy.......n.k are very helpful to make man play his role but pia kumbuka things changes gradual na vingine sio mpaka upige kelele au ufoke,unavichukua as if itc normal kisha unadeal navyo taratibu wakati mwingne sio lazima hata useme ile heshima na mazingra uliyomwekea anajikuta anakua vile unataka.
Ebu ona vile unapata shida unafikiria vi2 ambayo sio njema kwa gentleman kama wewe,ila kama dealing with the problem ni more painful kuliko vile uko sasa basi ningesema una afadhari lakini vinginevo rudi na usolve iyo mambo ni simple but not easy

najua Sio Rahis Kuwa Nami ,Na Ndio Maana Nahtaji Mbinu Za Ziada Ili Nimvute Ama Nimsahau!
Shukran ndugu!
 
Muombe ruhusa yake akukabidhi hubby wake ili akupunguzie machungu kwa muda mfupi alioondoka Mpenzi wako.

heheheheheh We Madame Wewe!
Nawe una Vituko Kama KONGOSHO!
Kwani anajua Maelewano Na Kusikilzana Huyo Hubby Wake?
 
mkuu,ninaamini uko serious.kama kweli unampenda na una uhakika beyond doubt kwamba uko tayari kuishi maisha yote yaliyobaki na yeye,MPIGANIE KWA NGUVU ZOTE NA HAKIKISHA UNASHUGHULIKA NA KILA KITU KWA HEKIMA NA BUSARA NYINGI!uamuzi wa hasira kwenye mambo haya unanigharimu mimi mpaka leo,ninaumia kuliko maelezo na ni kama sina la kufanya!YOU REALLY BELIEVE SHE IS THE ONE,MPIGANIE KWA NGUVU ZOTE,VINGINEVYO UTAJUTA!
 
Inaonekana wewe na huyo mtu mna interest zisizoendeana.sasa ili kuepuka migongano na kuishi kwa amani,inabidi mmoja aweze kumshawishi mwenzake aweze kubadili inretrest zake au mmoja aamue kumvuminia mwenzake au kilamtu ajikate ki vyake.
 
ni miezi miwili sasa toka niachane na msichana kipenzi cha nafsi yangu,
chanzo ni kwamba hakutaka nisikiliza na kunishirikisha katika uvaaji wake wa suruali na kunywa pombe pale nilipomzuia!
Kwa hasira na omba yake msamaha nika jivua(tukaachana ila tukikutana ni salamu tu)
katika harakati za utafutaji imenilazimu kuhama mji aliopo...sasa niko mbali nae yapata miezi 2(hakuna mawasiliano)
najitambua...nasema tena najitambua ila kambi yangu inafuka moshi si kidogo,nilalapo ndio auheni kwangu kwani huyu binti anatawala sana akili yangu kiasi najikip bize kusoma hadith za shigongo, kuperuzi,mazoezi n.k ili kumsahau,lakini ari ni tete!
Nilichoamua sasa... Nimtafutie dawa itakayomfanya nae anipende na kunisikiliza katika yote mema,kama nisikiavyo kuwa kuna waganga wa haya mambo(limbwata)
ama nipate dawa ya kumsahau yeye!

Je,wapi nitapata haya mambo mbali na utapeli wa mjini? Kwa yeyote anaefahamu anipm tafadhari wakuu!

Nb:pishana nami ila husitukane alama za miguu yangu,kwani utokako ndiko niendako!

soma katiba utamsahau fasta mzee,
 
Wote hampendani, sijaona sababu ya kuachana hapo. love can change some1, hajabadilika, hakupendi. na wewe umeshindwa kumuaccept kwa jambo dogo kama hilo je utaweza kuaccomodate weakness nyingine kubwa.? hampendani, period. kama kweli unampenda mrudie na umwambie kuwa huwezi ishi bila yeye alafu umbadilishe taratibu, atabadilika.
 
Kwanza Nashukuru sana kwa ushaur Wako
Nampenda kweli,Tena sana huyu Msichana,Ila Nakosa Namna Ya Kumwambia Nae Akarudsha Mapenz Ya Dhat Kwangu(Nahs Hatakuwa bize nami cz atajiinua kuwa kanishka vya kutosha)!
NAMPENDA ILA NTAMUANZAJE?
 
kwakuwa Mpaka Sasa Hakuna Alienipa Mbinu Ya Kumrudisha My Ex,waswahil Wanasema Shida Ni Kipimo Cha Maarifa.
Next Week kuna Siku Yake Ya Kuzaliwa ,Nazan Bora Niitumie Siku Hyo Kumuanza Na Kumchombeza!
 
Back
Top Bottom