Hiyo ni kitu ya OLDIES ARE AWALYS GOLD
couple ya hivyo yaweza ikawa hata hawaoani na pengine hata kila mmoja asioe na kuolewa na wao lakini THEY ARE JUST THERE!
AU
mmoja haoi au kuolewa kabisa,lakini ni partner wa mwingine hata iweje
AU
wote wanaingia kwenye ndoa,lakini hao maspouse inakuwa ndo status tu,lakin wao ndo wanakuwa wanandoa kihisia
kimsingi sijui sababu ni nini ila heb nijaribu kuwaza kwa sauti
-UTEGEMEZI WA KIHISIA,ile kuamini na pengine kuiishi imani kuwa raha na furaha ya kimapenzi ipo kwa hao wawili tu ,yani kuna mtu hata uwe kamasutra king au queen bado anaamini kisu ya kugonga mfupa ipo eneo B!
-UHASAMA,ushawahi kukuta watu wanakeep on mahusiano kukomoana?like mi huniachi asee yani we oa au olewa im still there ,u started this lazima ulimalize.utaendelea kuhudumia hapa na huko ulikoamua kwenda!and since mara nying huwa wahusika wa mahusiano hya wanajuan kulia kushoto juu chini,haina swali hiyo
-NDOA ZA KULAZIMISHA,watu wana mahabat yao toka miaka miingi,aidha wazazi au sijui maisha tu wahusika wanajikuta wamelazimishwa kuoa au kuolewa kwingine!,basi wanaendelea kulibeneka tu na mitima yao
-UTEGEMEZI WA KIUCHUMI,x has some dough na nini na ndo ushazoea tena,basi poa tu awe hata na wanawake mia au wanaume 300 we upo tu!si yako yanakunyokea bana!mwe
-UBAZAZI TU WA MWANADAMU,kila kitu poa,kwani kuna anayekudai,ah after all haiishi sio sabuni wala haibanduki,kwa hiyo poa tu!LOL!
well nimewaza tu
Lizzy