Habari wana JF,mimi ni kijana wa miaka 21,kuna msichana 2lizoeana sana paka ikafikia akawa ananiletea visuprise vidogo vidogo,baada ya mda mrefu nilimwambia yamoyoni kwangu,hakunijibu,akasafiri juzi juz amerudi tukawa tunapiga story za kawaida,juz akanipa sim niongee na kaka yake,kaka yake akanichangamkia huku akiniita shemej,huyu msichana anakaa ruvuma ambapo ndo kwao,kwa kina huyu msichana,kichwani nikajua tayari kashanikubalia,juz nimempigia cm ananiulza we nani?baada ya muda akani2mia msg kwamba nisimjue,hanitak na nifute namba yake,kaka kampigia kumuulza amesema hamna ki2,najiulza ananipima au yuko series mana hata cm hanipigii sasa, naombeni ushauri wenu...