Sex is an art

Sex is an art

Hapa kuna ukweli Natalia na hii art ndio inawafanya wengine waone kane wako tofauti na wengine!
 
Sasa aache ubwege wa nini unataka kukontrol feelings zake?wabantu bwana
 
Hahahahahahaha
natalia mi vituko vyako tu!

Ngoja nikuambie haya mambo ya unyago haya ni myth.mimi mume wangu na hakikisha analia kwa furaha ya mapenzi ,mwanaume wangu anatembea na mabega juu .namwonyesha kwamba yeye ni mwanaume.
 
Wewe fanya ufanyavyo ila akiamua kukuchakachua ndo hapo utajiuliza umemnyima nini!
 
Natamani ninge kuwa mume wako nitembee mabega juu!

Hiyo ndiyo inayo takiwa!

Back
Top Bottom