Mwasisi wa taifa hili alikemea kwa ukali siasa za kuwagawa watanzania kikabila, kikanda nk. Lakini kwa sasa, kama alivyodokeza Waziri Mkuu Mstafu Jseph Sinde Warioba nchi imesambalatika, siasa za ukabila na ukanda (zilijionesha wakati wa zoezi la bomoa bomoa); miradi ya maendeleo kusogezwa eneo...
Mwasisi wa taifa hili alikemea kwa ukali siasa za kuwagawa watanzania kikabila, kikanda nk. Lakini kwa sasa, kama alivyodokeza Waziri Mkuu Mstafu Jseph Sinde Warioba nchi imesambalatika, siasa za ukabila na ukanda (zilijionesha wakati wa zoezi la bomoa bomoa); miradi ya maendeleo kusogezwa eneo...
Iko haja ya kuitisha Kura ya Maoni ili kujua mtazamo na msimamo wa wananchi juu ya Bunge.
Yamkini Bunge likawa mithili ya mfalme aliyekuwa uchi. Itapasa ajulishwe kuwa yu uchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wana JF heri ya mwaka mpya. Kuna suala nimelisia sasa naomba kuelimishwa sheria inasemaje.
Kuna ndugu mmoja kanunua gari kwa mtu. Siku moja akasimamishwa barabarani akaambiwa gari lake inadeni la tzs 150,000/- akaoneshwa jina la dereva na lesseni namba ya huyo dereva. Pia, akajulishwa makosa...
Kati ya carina ti yenye ingini ya cc 1754 na ile yenye injini ya cc 1454 ipi itamfaa mtu mwenye kipato cha chini. Ukizingatia i) ulaji wa mafuta. ii) uimara wa injini.
Matumizi ya kawaida hapa mjini na kama Mara moja au mbili kwa mwaka kwenda Bukoba toka Dar.
Wapendwa wana JF napenda kufahamu, hasusani wanasheria. Hivi kupanda madaraja kwa watumishi wa umma ni suala la kisheria; kikanuni; au ni utashi tu wa mwajili?
Nafahamu mwajili anapopanda daraja pia kiwango cha mshahara kinaongozeka. Na hili lina athari chanya kwenye mafao yake wakati mwajili...
Hii ya
tz ni Buree elimu, kidato cha pili hawajui kusoma wala kuandika. Mtoto darsa la saba hawezi kusoma kitabu cha kiingereza cha darasa la pili. Ama kweli Elimu Bure bongo
Ufundishaji katika shule nyingi za sekondari za kata hauendani na haufuati mpango wa Maandalio ya Somo. Nadhani, sasa ni wakati mwafaka wa kuachana nazo. Kuna sababu hizi za kusema hayo.
Mosi, aina ya wanafunzi wanaojiunga na shule hizi wanahitaji nguvu na mbinu za ziada ili kuwawezesha kuelewa...
Serikali ya Kenyà imebadili muundo wa Jeshi la Polisi ambapo sasa vyeo vya kipolisi vimebadilika na hata sare za jeshi hilo zimebadilishwa. Jeshi limebadilishwa kutoka Kenya Police Force na kuwa Kenya Police Service.
Mabadiliko hayo yamekuja ili kulifanya jeshi liwahudumie wananchi tofauti na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.