Jinsi ya kujua jinsia ya computer yako!

Jinsi ya kujua jinsia ya computer yako!

haha ha pole mkuu..ila hata jike ni raha zaidi...kwani unapenda uhusiano na jike au dume!! yangu ingekuwa jike ningefurahi zaidi....
dah nimejaribu kila mbinu ya kubadilisha Microsoft Anna kuwa Mike, lakini nimegonga mwamba,,,Windows 7 64Bit zote zina option moja ya Microsoft Anna pekeyake,,, nashindwa kuamini Computer langu naliaminia alafu kumbe sauti ya kike, hata masela nashindwa kuwaonyesha huu mchezo kwasababu watauliza na yangu je'!!
mwenye ujuzi kidogo tusaidiane'........😛ound:😛ound:
 
Mkuu mimi nimekuta moja ni Dume moja jike vipi hakuna njia ya kupata katoto ka computer?
 
Thanks to Jf kila siku najifunza kitu.

Sharbobalo baada ya thread nzuri nimeendelea kufanya uchunguzi zaidi wa hizi vb za sauti. nimejifunza kitu.
  • Binafsi bado natumia XP na huyu dume anaitwa Sam. Soma soma zaidi zaiansema wale ambao kompyuta zao ni jike basi amebatizwa jina la Anna. Na nadhani wanaotumia winodws 7 itakuwa ni anna kwa mujibu wa vyanzo nilivyosoma
kwenye XP Ukienda kwenye control panel ukachagua speech kuna sehemu kuna voice selection utaona kuna defualt option Microsoft sam.


But nadhani pia kuna uwezekanano wakubadilisha au kuchakachua jinsia. niko najaribu jaribu hapa http://www.screamingbee.com/product/download.aspx ukidownload ScriptVOXstudio basi pc takuwa na jinsia zote zote ni wewe kuchagua tu ipi itumike. teh teh teh Studio 2.0.5
 
Nimejaribi hii yangu ni dume la toshiba na nimejaribu kureplace neno "hello " na maneno mengine ikaenda bmba na hata nikajaribu kuweka neno "Mtazamaji" ni sauti ya dume tu. Nikipata jike nitafanya kila niwezalo wapate mtoto tena itapendeza akipata karembo ka Sonny Viao siijui watapata mtoto gani. teh teh teh
ha ha.....ningekupa changu lakini na kenyewe kidume.....ila nimekuta ni kiserengeti boy......kazi kweli kweli
 
ha ha.....ningekupa changu lakini na kenyewe kidume.....ila nimekuta ni kiserengeti boy......kazi kweli kweli

teh teh teh Nimeshajua jinsi ya kumbadilisha jinsia kulingana na mahitaji. kwa kuwa chako kidume basiwawe wangu atakuwa anakuja umtembela wako akiwa anaitwa mary.
 
Script:c:\users\rose\desktop\hello.vbs
Line:1
Char:1
Error:active component cant creat objects “sapi.spvoice”
Code:800a01ad
Source:Microsoft vbscript runtime error
Hata mimi awali nilipata error message kama yako kwa kuwa nili-type yale maneno, lkn nilipojaribu kwa ku-copy na ku-paste ikakubali. Yangu ni DUME!!! Jaribu na zingatia maelekezo yote ya namna ya ku-save..yaani kufuta ile txt na kuweka vbs
 
Du,mpaka nimestuka! Ya kwangu ni MALE Gender,me too i am happy. I am male na my computer ni male.
Sharobalo unatisha na huo utundu wako!
Ha ha ha aha ha umefurahia nini sasa itaanza kukukaza hiyo ohooooo
 
Hahahah.nimecheka kama fala.kuna jamaa yangu nusura akimbie😂😂😂😂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom