Wakuu
kila mmoja ni mzma ndo imani yangu.
Kama kila mmoja wetu ambavyo amesikia hizi tuhuma za Mkuu wa Mkoa kugushi vyeti bado ni tuhuma hatukatai ila najiuliza kama ikija kudhibitika ni kweli Mheshimiwa Rais naye achunguzwe,wakuu hii scandal siyo jambo dogo sema sisi Watanzania kila kitu...
Habarin Wakuu?
Najua wengi wetu tunafuatilia matukio yanayoendelea hapa Nchini kama mfano hii drama ya madawa ya kulevya.CHADEMA jifunzeni kwa huyu mchungaji huwa ana mikakati mizuri sana ya kujilinda tena huwa anatumia mbinu za kisiasa.Acheni kulalamika sijui tunachafuliana majina oo sijui...
Habarini wakuu!
Tanzania tuna rasilimali nyingi kama madini,mbuga za wanyama,misitu pamoja na eneo kubwa la nchi kavu,nashauri Watanzania tuuze mikoa kama mitano kwa wenzetu wa ulaya watupatie fedha naimani zitaendeleza mikoa itakayo baki kwa kiwango kikubwa
Nawasilisha.
Habarini wakuu?
Natumaini kama umefanikiwa kusoma ujumbe huu we ni mzima wa afya. Kama title inavyojieleza hapo juu kwanza nianze kwa kuomba ushauri mimi ni kijana wa umri wa kati nilianza kunywa pombe nikiwa na umri mdogo sana nakumbuka nilianza nikiwa form two bila shaka.
Wakati mwingine...
Habari wakuu
naombeni msaada ninataka kufungua duka la vifaa vya ujenzi(HARDWARE) ila tatizio ni kwamba mimi siyo mzoefu wa hii biashara naombeni list ya vitu muhimu vinavyotakiwa viwepo na sehemu nzuli ya kununulia kwa bei ya jumla nipo Dar es salaam.asanteni
Habarini wanajamii,
Nina mpango wa kuandika kitabu kuhusu Jeshi la Polisi kwa ujumla wake, haya mawazo nilikua nayo tangia mwaka jana ila tangia juzi nafsi yangu inaniambia nifanye haraka.
Juzi nilijua nimepanda pikipiki jina marufu bodaboda sikua nimevaa element nilipanda kama abiria polisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.