Pombe gani mtu ukinywa haiachi harufu mdomoni?

13codes

Member
Dec 17, 2016
14
6
Habarini wakuu?

Natumaini kama umefanikiwa kusoma ujumbe huu we ni mzima wa afya. Kama title inavyojieleza hapo juu kwanza nianze kwa kuomba ushauri mimi ni kijana wa umri wa kati nilianza kunywa pombe nikiwa na umri mdogo sana nakumbuka nilianza nikiwa form two bila shaka.

Wakati mwingine sikuweza kufanya mitihani shuleni mpaka ninywe pombe kwanza , sasa niende kwenye mambo ya msingi mawili yalio nifanya ni create hii thread kwanza nawezaje kuondokana na huu uteja pili nipombe gani naweza kunywa ambayo haiachi harufu mdomoni ambayo naweza kunywa na kuendelea na kazi zangu bila yeyote kusikia harufu hata wakati nitakapo msogelea.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom