Kwanini kila aliyefanikiwa unasema ni rafiki yako

13codes

Member
Dec 17, 2016
14
6
kwanini kila aliye fanikiwa unadai ni rafiki yako, ivi hamjawahi kukutana na watu wa namna hiii
 
Billionea wote bongo na waliofanikiwa maisha ni marafiki wa LE MUTUZ

Uyu ndio aje akujibu swali lako
 
Back
Top Bottom