USHAURI: Tuuze Mikoa mitano kwa nchi za America na Europe tupate fedha za maendeleo

13codes

Member
Dec 17, 2016
14
6
Habarini wakuu!
Tanzania tuna rasilimali nyingi kama madini,mbuga za wanyama,misitu pamoja na eneo kubwa la nchi kavu,nashauri Watanzania tuuze mikoa kama mitano kwa wenzetu wa ulaya watupatie fedha naimani zitaendeleza mikoa itakayo baki kwa kiwango kikubwa
Nawasilisha.
 
Tuna madini na ma resources mengi tumeshindwa kuendelea sa tukiuza si wachache watakula hiyo ela.
Unakuta tunauza mkoa kumbe chini kumejaa almas, dhahabu, makaa ya mawe, uranium.
Inakuwa hasara kama ya mrusi kuuza alaska
 
Habarini wakuu!
Tanzania tuna rasilimali nyingi kama madini,mbuga za wanyama,misitu pamoja na eneo kubwa la nchi kavu,nashauri Watanzania tuuze mikoa kama mitano kwa wenzetu wa ulaya watupatie fedha naimani zitaendeleza mikoa itakayo baki kwa kiwango kikubwa
Nawasilisha.
Kwanini umefikiria kuwauzia America na Europe pekee? Umetumia vigezo gani? Kwani nchi za mabara mengine hazina uwezo wa kununua hiyo mikoa?
 
Ningependekeza katika hiyo mikoa itakayouzwa Kilimanjaro isikose...bora kutawaliwa na wazungu kuliko hali iliyopo sasa
 
Back
Top Bottom