Recent content by 10 kilotons of TNT

  1. 10 kilotons of TNT

    Senior Project Coordinator anahitajika

    Kampuni ni ya nje inamilikiwa na wa Bangladesh ina miradi inatekeleza nchini hivi sasa, kwa ambaye yuko tayari ana vigezo anaweza kuomba.
  2. 10 kilotons of TNT

    Dark days 17/03/20

    Una unandika waraka mrefu halafu unaongea ujinga …. Hujatambua yoga anajaribu kutokua direct awezavyo we huoni ata spelling anazikwepesha makusudi na hata iyo ishu ya mwanasheria kwa akili yako unaona hajui nani anamwapisha rais kwa yote hayo anayosimulia kwa haraka haraka tu smartness ya yoga...
  3. 10 kilotons of TNT

    Kuota uko unapiga na paper halafu kitu kinakupanikisha

    Jaribu kujichunguza kwa upande wangu most of the time nikiota hivyo kuna jambo litatokea ambalo nitarudi nyuma kimaendeleo .
  4. 10 kilotons of TNT

    ASA Microfinance

    Post ilikuwa ni loan officer... post nyingine tofauti na hiyo interview inafanyika kawaida kama ilivyo sehemu nyingine.
  5. 10 kilotons of TNT

    ASA Microfinance

    Anachosema ni kweli mimi nilishafanya nao kazi 2017. Iko hivi si tuliapply then tukaitwa kupitia sms , tulivyofika siku ya interview, tukafanyiwa interview group wise tulikuwa watu 60 tukapita 30. Kesho yake tukaanza training for two weeks tukapangwa vituo vya kazi lakini mind you kufanya...
  6. 10 kilotons of TNT

    Kanisa Katoliki lapoteza Mapadri 25 na Watawa 60 kwa tatizo la upumuaji ndani ya miezi miwili

    Sasa kutahadharisha watu wajikinge na ugonjwa ndio imani imepotea hivi watu wengine kichwani kuna ubongo au mliwekewa kitu gani??
  7. 10 kilotons of TNT

    Natafuta Garage au mafundi bora wa Bodi na Engine za gari za Kijapani, Mwanza.

    Garage moja ipo pale veta igogo mkabala na ofisi za bonde la ziwa victoria jirani na ofisi za GPSA.. au mcheki huyu fundi wa hapo 069 274 9814 hawatakuangusha
  8. 10 kilotons of TNT

    Ushauri wenu kwenye kuagiza hii gari wakuu.

    Sijawai ona mpumbavu kama wewe.....yaani nani kakwambia interest ulizonazo wewe, kila mtu anazo .. we kupenda pikipiki unahisi kila mtu atapenda??? ...eti nunua ist ??? Unaweza kuta uwezo wa jamaa financially ni mara tano yako suala la mafuta kwake sii ishu kabisa we unakuja na mawazo yako ya...
  9. 10 kilotons of TNT

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Yan kitendo tu cha kuuliza hili swali katika dunia ya biashara umeshafail....biashara iweze kuanza na ili ikue au ifanikiwe inahitaji iwe ni hitaji lako la moyo kwanza ambalo litakalopelekea hadi utafute huo mtaji .... tofauti na hapo itachukua muda sana mpaka miaka mitano ustabilize na si...
  10. 10 kilotons of TNT

    Miaka 10 baada ya kumaliza chuo bado sina kazi

    Watu wengine bana kwaio hako ka idea kako ndio unaona msaada....hapo atalipa kodi na aweze kumudu gharama za chakula cha siku kwa huo upuuzi unaomueleza.... mtu kakwambia alijaribu biashara mambo ni magumu unaleta ujuaji....na biashara is not for everyone ye kuchagua kuajiriwa sio vibaya ndio...
  11. 10 kilotons of TNT

    Wahitimu wa civil engineering wanasota mtaani, siamini macho yangu

    Statement kama hizi ni za watu wasio elimu..kwa akili ya kawaida mtu asome civil engineering miaka minne chuo kikuu then afanane na darasa la saba wabebe wote zege.....hicho kichwa chako kina akili au kiko tupu ?
  12. 10 kilotons of TNT

    Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

    Kuna taasisi ya kidini yenye hospitali nyingi tanzania kama roman catholic?..... huo ndio usemi wao kuhusu malaria na waraka wao unalenga taifa la Mungu yaani waumini wao inawezekana wewe huko exempted
  13. 10 kilotons of TNT

    Tukutane hapa tuliowahi kufanya na kufanyiwa matukio ya Kikatili na kutisha maishani

    Kuna kipindi wakati niko chuo ilikua inatokea shower kuwa zinaharibika na kuvuja kina namna flan sehemu ya koki pembezoni mwa ukuta..sasa kwa upande wangu nikienda kuoga nikakutana na shower inavuja nilikua na style flani hivi naivuta halafu nairudishia design flani hivi then ilikuwa inaacha...
Back
Top Bottom