Corluka Neven
JF-Expert Member
- Apr 26, 2017
- 323
- 368
Acheni uwongo!!HR nakaa nae jirani hapa anafanya kazi uko uko!!KASEMA BADO
Siwezi kuja huko kwasababu unaongopea wenzio na kukatisha tamaa tatizo linakuja tangu deadline ya tangazo hata hata mwezi hautapita wewe ushafanyiwa interview na uko training kitu ambacho hakiwezekaniuliza ujibiwe ..tatizo mkuu wajifanya wajua vingi kumbe hujui.. ipo hiv after interview ni training direct baada ya hapo twasubiri kupangiwa.. usikariri kuwa training mpaka uwe umeingia kazini tayari.. wao baada ya interview wanakupa mafunzo yao kabisa( theory and practical) ..( na interview yao ni group boss) si individual .. ila tu kila mtu aweza ulizwa swali lake ..maswali zaidi njoo pm
Haya maelezo yananukia 'uongo uongo'![]()



ananiita pm ili nikafanye nini ye aweke ukweli wake hapa


Kumbe lengo lako ufatwe Chemba (pm)uliza ujibiwe ..tatizo mkuu wajifanya wajua vingi kumbe hujui.. ipo hiv after interview ni training direct baada ya hapo twasubiri kupangiwa.. usikariri kuwa training mpaka uwe umeingia kazini tayari.. wao baada ya interview wanakupa mafunzo yao kabisa( theory and practical) ..( na interview yao ni group boss) si individual .. ila tu kila mtu aweza ulizwa swali lake ..maswali zaidi njoo pm
Anachosema ni kweli mimi nilishafanya nao kazi 2017. Iko hivi si tuliapply then tukaitwa kupitia sms , tulivyofika siku ya interview, tukafanyiwa interview group wise tulikuwa watu 60 tukapita 30. Kesho yake tukaanza training for two weeks tukapangwa vituo vya kazi lakini mind you kufanya training baada ya kupita interview haimaanishi umepata kazi hell no. Siku ya kupangwa kazi ni jinsi muhindi atakavyoona na kupenda kwa upande wetu siku ya kupangwa kazi walipangwa watano tu siku ya kwanza siku ya pili watano au sita then the rest walikaa home wakawa wanaitwa pakitokea nafasi wengine hawakuitwa kabisa.Haya maelezo yananukia 'uongo uongo'![]()
Mimi sikubishii.uliza ujibiwe ..tatizo mkuu wajifanya wajua vingi kumbe hujui.. ipo hiv after interview ni training direct baada ya hapo twasubiri kupangiwa.. usikariri kuwa training mpaka uwe umeingia kazini tayari.. wao baada ya interview wanakupa mafunzo yao kabisa( theory and practical) ..( na interview yao ni group boss) si individual .. ila tu kila mtu aweza ulizwa swali lake ..maswali zaidi njoo pm
nimeekezeaKumbe lengo lako ufatwe Chemba (pm)
Subiri utawapata
correctly bro usemacho ..same kwetu imekuwa hivi..Anachosema ni kweli mimi nilishafanya nao kazi 2017. Iko hivi si tuliapply then tukaitwa kupitia sms , tulivyofika siku ya interview, tukafanyiwa interview group wise tulikuwa watu 60 tukapita 30. Kesho yake tukaanza training for two weeks tukapangwa vituo vya kazi lakini mind you kufanya training baada ya kupita interview haimaanishi umepata kazi hell no. Siku ya kupangwa kazi ni jinsi muhindi atakavyoona na kupenda kwa upande wetu siku ya kupangwa kazi walipangwa watano tu siku ya kwanza siku ya pili watano au sita then the rest walikaa home wakawa wanaitwa pakitokea nafasi wengine hawakuitwa kabisa.
Mnaongelea nafasi gani?Anachosema ni kweli mimi nilishafanya nao kazi 2017. Iko hivi si tuliapply then tukaitwa kupitia sms , tulivyofika siku ya interview, tukafanyiwa interview group wise tulikuwa watu 60 tukapita 30. Kesho yake tukaanza training for two weeks tukapangwa vituo vya kazi lakini mind you kufanya training baada ya kupita interview haimaanishi umepata kazi hell no. Siku ya kupangwa kazi ni jinsi muhindi atakavyoona na kupenda kwa upande wetu siku ya kupangwa kazi walipangwa watano tu siku ya kwanza siku ya pili watano au sita then the rest walikaa home wakawa wanaitwa pakitokea nafasi wengine hawakuitwa kabisa.
Post ilikuwa ni loan officer... post nyingine tofauti na hiyo interview inafanyika kawaida kama ilivyo sehemu nyingine.Mnaongelea nafasi gani?
Yaani IT manager wanataka mmoja halafu mfanyie interview kwa group halafu muende training ndio mpate kazi?
Wakiita utujuze basi ili tuwe karibu na simu zetu.
Aya wewe umefanya training ni kati ya kundi lipi la wale 100 kama walivyosema watu huko juu?bro nikweli waeza kuwa jirani na hr ..ila nafurahi unajipa majibu mwenyewe.. endelea utayapata yote.. ila niamini mimi kuna ambao tumemaliza training,, na kati yetu kuna ambao wamepangiwa tayari na kuna ambao bado kupangiwa..na kuna watu wapo training sahivi..poleni nilikuwa kimya mana sikutaka kubishana mie toka mwanzo nilikuwa tu natoa maelezo na hali nayoijua au nilopitia ila kuna watu wakaja kama kuni attack tubishane kumbe. sikuwa nabishana wala kumuweka mtu roho juu au kumuambia mtu kakosa au kapata.. pia nilitoa ushauri kwa hali pia nilokuta kule.. sikusema direct mtu apeleke cv na mkono nilipendekeza kwa wa karibu.. pia nilisema bado wanaajiri tena sana so sikusema kwa kumdanganya mtu.. shukrani wakuu
Hakuna unalolijua.bro nikweli waeza kuwa jirani na hr ..ila nafurahi unajipa majibu mwenyewe.. endelea utayapata yote.. ila niamini mimi kuna ambao tumemaliza training,, na kati yetu kuna ambao wamepangiwa tayari na kuna ambao bado kupangiwa..na kuna watu wapo training sahivi..poleni nilikuwa kimya mana sikutaka kubishana mie toka mwanzo nilikuwa tu natoa maelezo na hali nayoijua au nilopitia ila kuna watu wakaja kama kuni attack tubishane kumbe. sikuwa nabishana wala kumuweka mtu roho juu au kumuambia mtu kakosa au kapata.. pia nilitoa ushauri kwa hali pia nilokuta kule.. sikusema direct mtu apeleke cv na mkono nilipendekeza kwa wa karibu.. pia nilisema bado wanaajiri tena sana so sikusema kwa kumdanganya mtu.. shukrani wakuu