Kama unataka kuoa kwa ajili ya upweke jipange tena, tafuta sababu nyingine. Kuna watu wengi wapo kwenye ndoa na bado ni wapweke.
Kuoa inabidi kupenda na kupenda sio jambo lakujiforce ni kitu automatic. Alafu braza upweke ni jambo baya kama utalichukulia kua ni baya.
Naona hapo unasafari...
Saka:you are too good defensively
Arteta: come help us to win the league
Guehi; no i think more of internal damage
Saka; what yo mean man
Guehi; i will join city and do blunders in important match
Habari wadau wa audio. Natafuta Subwoofer ya inchi 10 (Used/Mitumba) kwa ajili ya DIY project yangu ya chumbani. Target yangu ni kupata Quality Bass kwa ajili ya RnB na Trap (Tight bass, siyo kelele).
Sifa ninazotafuta:
✅ Size: 10 Inch
✅ Impedance: 4 Ohms (Preferably)
✅ Aina: Single Voice Coil...
Dowmnan amehusika kwenye both goals, thanks kwenye dakika za jion mentality. Inawezekana downman akawa good good kwenye izo moment kama trossard. Hatujui akianzidhwa atakuwaje
I
FIfa 14 inaweza kuongezewa feature ?!, kama inawezekana itakua bomba sana
*Chakwanza sipendi unrealist player development na iyo ya kupata mawonder kid wengi kwa msimu
*wonderkid akijitahidi sana inabidi awe ana rate ya 70
*nikiweza kupata iyo feature ya kupata tactics nyingi kwa mfano kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.