Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari za wakati huu wakuu. Kwa wale wapenzi wa Movies ,Series na vitabu mbalimbali sasa tumekufikia. Ni hivi Tuna collection ya movies zote kali sana za aina zote pamoja na series...
9 Reactions
118 Replies
19K Views
Habari ndugu zangu wana jf, nahitaji huduma ya ku unlock kitochi 4G ya vodacom ili laini namba 1 iwe inasoma mitandao yote Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Liwe katika hali nzuri, nipo Dar pm me or sms 0737 816 299. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Sehemu:Mafinga Mjini,changarawe block j Plot no:318 Sqm. :1608 Umiliki. :hati Unafikaje: ni mita900 kutoka barabara kuu ya Mbeya-Dar Maeneo ya karibu: Uwanja unatazamana na Magori open...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Heshima yenu wadau. Nina mpango wa kuja kuweka tangazo langu kwenye Channel ya ITV. Ningependa kujuzwa aina ya matangazo ambayo channel hiyo wanatoa na gharama zake. Ntanguliza shukrani zangu za...
0 Reactions
20 Replies
15K Views
Make : Toyota Model : Townace Truck (T-KM51) Mileage : 54,840km Engine size: 1,450cc (5k) Gasoline : Petrol Steering : Right Hand Drive ( R. H. D. ) Transmission : Manual Drive : 4WD...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Kuna shamba linauzwa lenye ekari 5.5 hectres, 2.5 hectares zimepandwa miti ya mwaka mmoja na sehemu iliobaki imesafishwa tayari kwa kilimo chochote. Eneo...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habari wana jf, nauza King'amuzi cha Startimes kikubwa bati cha antenna BEI poa Shilingi 35000 tu. Nipo Dar mwenye kuhitaji anicheki 0715992666 hii no ipo whatsapp pia hakina tatizo lolote...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Tunashukuru sana wakulima binafsi, taasisi za serikali na mashirika binafsi na wadau mbalimbali wa kilimo kwa kuweza kushirikiana nasi kwa namna mbalimbali katika kukuza sekta ya kilimo kwa mwaka...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kitanda kinauzwa na godoro lake kimetumika Miezi mitatu tu Call 0673864333
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nauza Dell monitor 21' pamoja na 500GB HDD ipo na external case yake pia, Price ni 200k Nachek 0759870104 nipo Dar Es Salaam. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
617 Views
Kiwanja kipo Manispaa ya Temeke Kata ya Kigamboni Mtaa wa Mnembwe ukubwa wa kiwanja ni 432 sqm. karibuni Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari wadau! Hope mko poa kabisa, na kwa neema za Mungu tunatumai atatuvusha mwaka salama, kwa wale ambao ni wagonjwa na wenye shida mbalimbali, basi ni maombi yangu kwa Mungu wa Mbinguni...
2 Reactions
6 Replies
4K Views
Nahitaji kitanda cha 5×6 pamoja na godoro lake nina 140k only... Godoro kama una godoro tupu used nichek pia nataka liwe la 5×6 Kitanda kitupu bila godoro pia cha 5×6 nicheki Nipo dar ubungo...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Wadau! Naomba idea ya namna ya Kusafirisha Memory Card na flash drive kutoka China. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
722 Views
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza hapo juu. Nauza kuku wa mayai wapo 540 (mia tano arobaini), bado wiki mbili waanze kutaga. Nawauza kwa bei ya jumla sh.MILLION 3. SABABU: Hii ni baada ya...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Wadau nauza Kiwanja changu, kipo wilaya mpya ya Kigamboni, Kimepakana na viwanja vya Kisota. Kiwanja kinaangalia barabara ya kutoka Ugindoni kuelekea Kisota. Kipo sehemu tambarale hakuna maji...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari Wana Jamii.. Mageti Yanauzwa yako makubwa mawili kama kwneye picha jeupe na jeusi na mdogo yako 11.Mageti yote ni mazima na yalikua yakitumika kwenye frame zangu za nyumbani. Niko sinza...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Maisha yetu kwa kiasi kikubwa, yamezungukwa na Matangazo (Advertisements) ya bidhaa au biashara mbalimbali. Tushikapo magazeti asubuhi, tusikilizapo vipindi vya redio, tuangaliapo vipindi vya TVs...
4 Reactions
23 Replies
25K Views
Habari ya alasiri wadau na poleni na mihangaiko ya siku nzima. Natumaini mko poa. Nisiwachoshe niende kwenye hitaji langu. Wadau ninatafuta shamba la kukodi preferably maeneo ya Ruvu kwa ajili ya...
0 Reactions
77 Replies
15K Views
Back
Top Bottom