Shukrani wadau wa kilimo kwa kushirikiana nasi katika kuhakikisha kilimo kinakua kwa kasi tunawatakia mwaka mpya mwema 2020

Minael Masasi

Member
Jan 10, 2019
34
55
Tunashukuru sana wakulima binafsi, taasisi za serikali na mashirika binafsi na wadau mbalimbali wa kilimo kwa kuweza kushirikiana nasi kwa namna mbalimbali katika kukuza sekta ya kilimo kwa mwaka 2019, sisi ni nani hadi tusimshukuru Mungu kwa neema zake alizotujalia, japo changamoto hazikuwa ndogo hila mafanikio pia tumeyaona,, tunapenda kuwakumbusha wakulima kuzingatia kanuni bora za kilimo hili kuweza kupata matokeo sahihi,, hasa tunapoingia mwaka 2020' tusameheane kwa pale tulipokwazana na tuweze kusonga mbele zaidi" nasi tunawaahidi kuboresha mapungufu yetu yaliyojitokeza na kuwapa ahadi ya kufanya vizuri zaidi kwa mwaka 2020..

HUDUMA ZETU MBALIMBALI ZITABORESHWA ZAIDI.

1. Ujenzi wa greenhouse na nethouse za kisasa zaidi kwa ubora wa hali ya juu na kwa gharama ambazo wakulima watazimudu.

2. Kufunga mifumo ya umwagiliaji maji katika viwango vinavyotakiwa kwa kutumia material bora za kutoka israel zenye warrant ya muda mrefu.

3. Kutoa huduma ya mbegu bora na miche bora kwa oda ya muda mfupi na huduma hii itapatikana mikoa yote Tanzania.

4. Kuandaa miradi ya kilimo kwa kuzingatia uhitaji wa mteja hasa kwa wale wanaohitaji kukopeshwa na bank kwaajili ya kufanikisha miradi yao ya kilimo.

5. Kutoa huduma za upimaji wa udongo na kutoa majibu sahihi yatakayokuwezesha kulima vizuri na kuepuka changamoto zisizo za lazima.

Kwa niaba ya MASASI FARMING & AGRO BUSINESS tunawatakia mwaka mpya mwema wenye mafanikio lukuki na kheri nyingi na Mungu awe pamoja nasi daima.

IMETOLEWA NA MKURUGENZI MTENDAJI.

0745478823
masasi%20farming.jpeg
FB_IMG_1577815415924.jpeg
IMG_20170621_122935.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo sio ya kuyakurupukia. Hizi taasisi za kilimo nyingi ni za kitapeli. Kijani Kibichi chini ya Adam Rashid Ngemange amewatapeli KKKT MWENGE na hataki kurudisha, licha ya kutiwa ndani mara nyingi.
Pia Kuna taasisi ya Namaingo, zote Ni utapeli mtupu
 
Janja mingi kuliko uhalisia...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya mambo sio ya kuyakurupukia. Hizi taasisi za kilimo nyingi ni za kitapeli. Kijani Kibichi chini ya Adam Rashid Ngemange amewatapeli KKKT MWENGE na hataki kurudisha, licha ya kutiwa ndani mara nyingi.
Pia Kuna taasisi ya Namaingo, zote Ni utapeli mtupu
Sijui kama ulishawahi kutapeliwa na taasisi hii mkuu, kosa ni ku post au ni kitu gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom