Nataka kuuza kiwanja changu ila nataka kujua mambo gani ya msingi mnunuzi atahitaji pia Madalali karibuni

No retreat no surrender

No retreat no surrender

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
1,898
2,000
Urefu mita ngapi na upana mita ngapi. Maana hizo square meter kingine unakuta upana chembamba sana! Alafu weka bei. Pia picha ni muhimu kuonesha majirani wamejenga nyumba za aina gani na kinaingilika kivipi kama kuna barabars au uchochoro wa uswahilini. Pia weka namba ya simu! Kila la kheri!
 
Top Bottom