Kama unahitaji kubadilishana uwanja

Kama unahitaji kubadilishana uwanja

whitefather

Member
Joined
May 29, 2018
Posts
89
Reaction score
75
Sehemu:Mafinga Mjini,changarawe block j
Plot no:318
Sqm. :1608
Umiliki. :hati
Unafikaje: ni mita900 kutoka barabara kuu ya
Mbeya-Dar
Maeneo ya karibu: Uwanja unatazamana na
Magori open school,upande wa
Ipo Anastazia english medium-
Primarly school
Huduma :maji yapo,nguzo ya umeme ipo karibu na
Uwanja

Kwa maelezo hayo nahitaji mtu yoyote ambaye angependa tubadilishane nimpe changu anipe chake
Maeneo yafuatayo .... kibaha,kiluvya,mbezi,kimara,kinyerezi or kigamboni.

SABABU YA KUTAKA KUBADILISHANA
1.Nimehama kimaisha kutoka Mafinga na sifikiri
Kurudi huko &nahitaji kuanzisha maisha mapya
Hapa Dar-es-salaam

NB:HUU UWANJA NI WANGU,UKIVUTIWA NJOO PM TUKUBALIANE.
KARIBUNI.

20161130_152130.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa maeneo uliyoyataja ukipata wa kubadilishana nae ukubali kupewa eneo dogo. Karibu sana kibaha.
 
Sehemu:Mafinga Mjini,changarawe block j
Plot no:318
Sqm. :1608
Umiliki. :hati
Unafikaje: ni mita900 kutoka barabara kuu ya
Mbeya-Dar
Maeneo ya karibu: Uwanja unatazamana na
Magori open school,upande wa
Ipo Anastazia english medium-
Primarly school
Huduma :maji yapo,nguzo ya umeme ipo karibu na
Uwanja

Kwa maelezo hayo nahitaji mtu yoyote ambaye angependa tubadilishane nimpe changu anipe chake
Maeneo yafuatayo .... kibaha,kiluvya,mbezi,kimara,kinyerezi or kigamboni.

SABABU YA KUTAKA KUBADILISHANA
1.Nimehama kimaisha kutoka Mafinga na sifikiri
Kurudi huko &nahitaji kuanzisha maisha mapya
Hapa Dar-es-salaam

NB:HUU UWANJA NI WANGU,UKIVUTIWA NJOO PM TUKUBALIANE.
KARIBUNI.View attachment 1308471

Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu KIBAHA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukikosa wa kubadilishana nae, bado una nafasi ya kuuthaminisha na kuuza halafu ukaenda kutafuta kiwanja kingine huko unakoishi sasa.

Ukijiwa na hili wazo, basi tuwekee kabisa na bei ili watu wajilipue.
 
Back
Top Bottom