Movies, Movies , Series, vitabu, na Documentary

Movies, Movies , Series, vitabu, na Documentary

Time Traveller

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2016
Posts
314
Reaction score
306
Habari za wakati huu wakuu. Kwa wale wapenzi wa Movies ,Series na vitabu mbalimbali sasa tumekufikia.

Ni hivi Tuna collection ya movies zote kali sana za aina zote pamoja na series zote kali gumzo kwa sasa. Hizi ni movies original ambazo hazijatafsiriwa Kiswahili. Pia movie hizi hazipo kwenye CD bali ni kwa wale wenye Flash drive, wenye computer majumbani, Laptops , n.k. kwa upande wa vitabu kuna soft ware na Audio books, pia zipo speeches na documentaries.

Tukianza na series Zipo Series zote kali za zamani na za sasa. Kuna za adventures, Actions, love stories, n.k

Pia kuna za vichekesho, Za korea, n.k

BEI: Kila season moja ya series na episode zake utaipata kwa shilingi elfu mbili . (2000)

Kwa upande wa Movies utapata movie yeyote unayoitaji kuanzia za Adventures, Actions Movies
Horror Movies.
Love stories Movies n.k

Romantic comedies (black Americans) Movies.
Science fiction Movies
War Movies. N. K

Animations kali za watoto kama vile ( kung fu panda, shrek,Rio, tom and jerry collections N.k)

BEI YA MOVIES NI …………….Tsh 1000 kwa kila movies 3 ( tatu).

NB: kwa mtu atakayechukua mzigo mkubwa. utaletewa mahali ulipo ndani ya Dar es salaam, iwe ofisini, nyumbani, Chuo n.k.

NB MOVIE ZOTE ZINA QUALITY YA HALI YA JUU

Kuna documentary kali ( za wanyama ( wild animals,), planet earth, life at the outer space, History n.k.

** Kwa upande wa Vitabu vimegawanyika kuna Audio book ( vitabu vya sauti, hivi mtu anasimulia we unasikiliza tu) Hapa kuna list ya vitabu vilivyosaidia sana watu kufikia mafanikio,

· kuna vitabu kama vile The Law of attraction , The 48 Laws of power, The Art of war, The Great Gatsby, The path of prosperity, The richest man in Babylon, The science of Growing rich, Think and grow rich

AUDIO BOOK kitabu ni Tsh. 1000, ukitaka tunakuwekewa kwenye computer. Pia kuna Speech mbalimbali za mafunzo kutoka kwa watu maarufu kama vile Nyerere, Obama, Mao tse tung, che Guevara, pia zipo speech za siasa zenye nondo ningi zilizowapa watu ushindi mkubwa, zipo pia speech za kukumotivate na kukupa njia za kufikia mafanikio.

Pia vipo vitabu vyote vya kawaida katika mfumo wa PDF, , Kuna novel kali, vitabu mbalimbali vya Mafunzo, stories n.k

List ya vitabu ni kama hivi- Fools die, Basics of computer, Kama sutra-the art of love making, Rich dad poor dad, The monk who sold his Ferrari, why nations fails, N. K

NB: Kuna vitabu Zaidi ya 1000 , pia kwa wanavyuo kuna vitabu vya kozi mbalimbali . vipo vitabu vingi sana vyenye nondo za kutosha ndani yake.

Unaweza kuwasiliana nami kwa simu namba 0782 707030
Karibuni sana.
 
safi niko dar utanifaaa sana maana pombe nimeachaaa...naataka home delivery kuanzia leo jion saa 12,,,,njoo na current movies za drama na action,,,series za kizamani kama turdoes ,,,bours,,pope,,,,kama unazilizoendea,,,,zingine tutaangalia ukija...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom