Kwa Huduma Bora na Uhakika. Karibu kwa Matatizo yoyote ya Generator lako. Kama unauza au unataka kununua njoo ofisini kwetu. Pia tunafanya Maintenance service kwenye Engine na Ac alternator/Kinu...
Habari za muda huu wakuu,
Kama kichwa kinavyoeleza hapo juu, nahitaji suppliers (wafugaji) wa kuniletea mayai ya kuku wa kisasa kuanzia trays 100, 200, 300, 400, 500,6 00 na kuendelea kwa week...
Baada ya kutengeneza App ya kutazama movie zilizotafasiriwa Kiswahili inayoitwa Muvika Online, ambayo niliiweka Google Playstore August 24, 2019 mpaka kufika siku ya leo ambapo naandika thread hii...
Habari njema Kwako mjasiriliamali,
Mashine mpya kabisa ya kutengeneza ice cream aina ya BQL F12 .
Mashine ina ujazo wa matank mawili Lita 5 kila tank.
Mashine inatoa ice cream baada ya dakika...
Gari ndogo ya mizigo, Suzuki Carry (Kirikuu) inauzwa kwa bei nafuu ya 4.5m (Fixed).
Liko vizuri na limetumika kwa muda mchache.. Lakini pia kwa ushauri gari linahitaji marekebisho kidogo km laki...
Nyumba zipo Mbezi beach, Jangwani beach zimetizamana na Jangwani seabres apartment
Moja ni ya ghorofa na nyingine ni ya chini
Size plot 3500 sqm
Bei Tsh 285m
Maongezi zaidi 0756060183
Je, wewe ungependa kujifunza zaidi juu ya Ufugaji bora? Tanzania Educational Publishers Ltd inavyo vitabu vifuatavyo,
(1) Ufugaji Bora wa Ng`ombe wa Maziwa Sh.15,000/=
(2) Ufugaji Bora wa Sungura...
Tupate kupitia namna za chini hapo tukuhudumie!
0784733776
0675327273
NB: Tunatumia chuma katika kazi zetu so ubora na uimara ni kiwango.
Sent from my TECNO H6 using Tapatalk
Njoo ujichukulie kabati la milago 3 bei ikiwa imepoa sawa na bure.
Upana : Futi 4" 1'
Urefu : Futi 6" 1'
Milango : 3
Bei : Laki 2 na Nusu tu (Tshs.250,000.00)
Kabati lina Kioo cha kujiweka sawa...
Mahitaji ya
[emoji117]mashine
[emoji117]magari
[emoji117]pikipiki
[emoji117]mbao
[emoji117]mkaa
Ntapokea asilimia tano ya mauziano kutoka kwa mnunuzi kama faida yangu.
Pm
UAMINIFU NI MTAJI
Imetumika miezi miwili tu nauza kwa bei ya TSH 270,000 ipo katika hali nzuri haina tatizo lolote napatikana Mabibo Mwisho Dar es Saalam wasiliana nami kupitia 0767324191 au 0679318693.
vinanda aina ya YAMAHA PSR-S650 vinauzwa bei 950,000/=
Vinafaa kanisani na bendi pia(sequency)
picha fuatilia hii link
http://burgercismusic.com/?p=3360
niandikia giddy@mybridge.biz
au piga...
Imetumika week 6
Haina tatizo lolote
Tegeta dar es salaam
Inakuja na charger, usb, earphines, cover na box lake
0789609310
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakubwa nauza hii mashine yangu hapa, ni Microsoft Surface Pro 3, imetumika kwa miezi mitatu tu.
Asking price ni 650,000/= Tshs ( negotiable)
Location: Nyerere Bridge, kigamboni. Dar es salaam...
Habari wakuu.
Natumaini mnaendelea vyema na maandalizi ya X-mass na na Mwaka mpya 2020.
Nahitaji fundi au gereji nzuri ya TOYOTA kwa MWANZA MJINI.
1. Nina Rav4 ya 2003, engine D4 ina kamlio...
Habari wapendwa.
Jana nili ingia mjini Kariakoo Mtaa wa Msimbazi katika maduka ya vipodozi kutafuta izo Moisture hapo chini ila sikufanikiwa kuzipata.
Kama kuna mtu ataweza nisaidia sehemu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.