Mrigariga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 1,760
- 1,619
Habari ya alasiri wadau na poleni na mihangaiko ya siku nzima. Natumaini mko poa. Nisiwachoshe niende kwenye hitaji langu. Wadau ninatafuta shamba la kukodi preferably maeneo ya Ruvu kwa ajili ya shughuli za bustani ya mboga mboga. Likiwa na source ya maji muda wote itakuwa vizuri zaidi. Kwa wadau wenye kujua maeneo yanayokodishwa kwa kilimo,tafadhali naomba mchango wenu. Mbarikiwe sana