Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wasalaam. Tangazo kwa wamiliki wa Radio/podcast & tv. Nina offer packages za matangazo ya sauti Pamoja na motion. 1.RADIO PACKAGES Includes Main Radio jingles,Programs jingles, segments...
1 Reactions
1 Replies
822 Views
Kwa yeyote anayeuza gari aina ya Crown Royal salon, usajili si chini ya DJ, Bei isiyozidi 10M kama unalo au unamjua aliyenalo tuzungumze DM. Asante sana. Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
16 Replies
4K Views
Hizi ni korosho safi kutoka kusini mwa Tanzania, Mtwara. Kama kijana niliyeamua kujiajiri nawaletea bidhaa mzuri sana ya korosho mzuri na tamu pia. Napatikana Dar es salaam lakini na mikoani pia...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Eneo liwe katikati ya mjini hapo Dodoma, kwa ajili ya kujenga supermarket na maofic Eneo liwe kuanzia 1000sqm na kuendelea Ofa tunasikiliza kwa muuzaji Kwa maelezo zaidi wasiliana nami kwa...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Habari, Kwa Wafugaji Nyuki Kibiashara, sasa unaweza kujipatia Mizinga ya Kufugia Nyuki Kibiashara (Commercial Langstroth Hives)kwa bei RAFIKI ya Tshs 170,000/=, ambapo kupitia kwayo utaweza...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Naomba kupata maelekezo na upatikanaji wa tenda. Msimu huu wa masika,
0 Reactions
0 Replies
992 Views
TOYOTA COASTER SAFI SANA Bei: 16,500,000 Mwaka: 1992 Aina ya Mafuta: DIESEL Umbali: km 141,121 Injini (cc): 4100 Transmission: manual (vibali vimeisha mwaka huu mwezi 11) kituo simu elf...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nissan X-Trail Mint&good Condition 2003year Engine capacity 1990Cc Mileage 78560Km price 11million Kwa mawasiliano 0659299667 Gari ipo Dar es salaam
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Dotem Insurance Tunatoa bima aina zote kama zifuatazo: - Bima za maisha - Bima ya gari, bajaji, lori, scaveta - Bima za mashine - Bima za ofisi - Bima ya kikundi (kikoba au taasisi) - Bima za...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Mitsubishi Pajero model ya 2004. Registered in 2014. Iko katika hali nzuri Inamilikiwa na kampuni binafsi. Gari inashida kidogo na gear box ila inatembea vizuri. Nipigie 0754847678 au watsapp...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Biashara ya utalii ni moja kati ya biashara nzuri lakini zenye changamoto nyingi. Kwa wazoefu, biashara hizi ni kama Mgodi kama ukipatia namna bora ya kuziendesha. Leo nataka tuzungumzie biashara...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Salaam wana jukwaa, Husika na kichwa cha habari hapo juu, Kiwanja kinapatikana maeneo ya Geita-Katoro maeneo ya Mombasa Raha, Kina ukubwa wa -urefu ni 30 upana ni 28. Bei ya kiwanja ni million...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Sofa Ya Watu Wawili Na Mito Yake Hiyo Hapo, Imetumika kwa Miezi 6 Bei: Tsh.220,000 Niko Dar Kigamboni, Sitaki Nikihama nibebe Vitu vyote Vya Ndani Mob:+255 718 295 182...
2 Reactions
10 Replies
3K Views
Habari, nauza mayai ya kienyeji kwa jumla na rejareja bei 14,000, tunapatikana ubungo riverside. Naondoa usumbufu nakuketea ulipo 0678160139 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
498 Views
Jipatie mashine ya kichujia maji ambayo haitumii umeme ni rahis kutumia na ni salama kwa asilimia 100 kwa maana ina kipenyo cha micrometer cha 0.2 ambacho hakiruhusu bacteria wala uchafu wa...
0 Reactions
1 Replies
683 Views
Habari wadau, Kuna viwanja Kibaha kata ya Kongowe Kitongoji Cha Kigelo Viwanja vilipo ni umbali wa Kilometer 2 kutokea Morogoro Road Huduma za maji na umeme zote zipo Bei ya kiwanja ni TZS...
0 Reactions
35 Replies
5K Views
Wakati ukiwa umesave pesa mwaka mzima kwa ajili ya ujenzi basi sisi tupo kwa ajili ya kukusaidia kutimiza ndoto yako Hapo ni muonekano wa nyumba ya vyumba 4 all self , jiko, dinning, sebule...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je Unahitaji msaada katika kuanzisha biashara yako? KASI wanatoa huduma za uanzishaji wa Biashara ambazo zitakuwezesha kuanzisha biashara yako kitaalamu na kupata huduma ya mentorship katika...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
HOUSE FOR RENT LOCATION: SINZA "A" NEAR CATALUNYA ALONG SAM NUJOMA ROAD, DAR ES SALAAM. DESCRIPTION: SUITABLE FOR OFFICE ONLY, STAND ALONE, THREE LARGE BEDROOMS ONE IS MASTER BEDROOM, SITTING...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Kuku broiler wenye uzito wa kutosha wanapatikana kiluvya madukani kwa bei ya tsh 6000 tuu,karina kwa mawasilano ni 0758918144 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
730 Views
Back
Top Bottom