Habari wanabodi,
Kichwa cha habari hapo juu chahusika,nahitaji nondo takribani 85 kwa mchanganuo wa 12mm idadi 60 na 16mm idadi 25,napatikana bahari beach near budget restaurant ,ledger plaza...
DStv -Jiunge na tasnia ya burudani kwa kununua dish na dekoda kwa sh.99,000 na upewe buree kifurushi cha kuangalia mwezi mzima,kifurushi chenye thamani ya sh.69,000 buree,,kifurushi hiki kina...
Naomba mwenye mkanda wa kioo wa mwanga yan lcd cable ya acer 5210 anichek pm tufanye biashara au kama unaona ambao unafanana nao anichek pm
Note :ni laptop sio desktop
Sent using Jamii Forums...
Habari wakuu,
Naomba mnisaidie nataka kununua iphone 6+, kuna uzi nimeona wanasema simu za makumbusho ni refurbished au kama kuna mtu anauza 7+ anakaribishwa PM,
Bei za mlimani city nimeshindwa...
Salamu!!
Jamani natafuta mahali au chuo au hata mtu binafsi anaweza kunifundisha namna ya kusindika maziwa.
Nimejaribu SIDO wanasema wao wanafundisha usindikaji wa vyakula na milolongo kibao na...
Wakuu, lile shamba nilisema nauza 10m nimepunguza bei sasa ni 7.3m. Nimeanza na Kujenga kibanda cha mfanyakazi badi kuezeka. Lipo Mbeya.Mbarali. Ni hekari 2.75.
Year : 2005
Capacity :2490cc
Full AC
Full Documents
Full Options
Excellent Conditions
Location: Mikocheni
Price : 10.7M
Call : 0717436363/0711600998
Sent using Jamii Forums mobile app
Nawasalimu kutoka hapa jijini Mwanza, Kama maada inavyosema mimi ni muuzaji wa spare used za magari aina zote niko jijini Mwanza, Nawakaribisha nyote mnaotafuta spare na ntafurahi kutatua...
Wakuu Leo nimeamua kuwarahishia kazi ya kuzunguka mjini kariakoo kila kukicha kutafuta bidhaa Bora. Jipatie photo copy machine mpya kabisa na maganda yake kwa tsh 2M. Bila usumbufu wowote.
Piga...
Jipatie laptop na ipad zilizo imara na vizuri kila idara zimetumika USA zipo tano zikiwa katika hali nzuri
NUNUA KILICHO BORA USISMBUKE KUNUNUA VIBOVU KILA SIKU FUNDI
BATTERY ZIPO IMARA NA...
Wapi nitapata hizi TV kwa maeneo ya Dar, huku mitandaoni wasije kuniliza bure,
Budget ni mil 2.5.
Pia kama yoyote anatumia aniambie juu ya ubora wake pia alinunua bei gani maduka ya bongo.
Thanks.
Imebaki kodi ya miezi mitatu kodi kwa mwezi ni sh 200,000. ina vitu vyote ndani, imeboreshwa kwa kuwekwa milango ya aluminium, imejengewa kwa nnje vitu vyote ukiondoka ni vyako
kuhusu bei nicheki...
Habari wana jamvi?wakuu ni wapi naweza kununua kwa wingi maharage ya njano kwa bei ya jumla kutoka shambani?
Mwenye information kutoka shamba naomba anipatie.
Used Acer laptop for sale
250,000/=
2 Laptop speakers
Intel(R) Core(TM) i5 CPU M 480 @2.67GHz
RAM : 6.00 GB
System Type ; 64 - Bit Operating system, x64-based processor
WINDOWS SPECIFICATIONS...
Kwa mahitaji ya ramani bora za nyumba ya kwako au ya jamaa yako anaayetarajia kujenga mcheki huyu jamaa 0714737483. Social networks anapatikana kama mwenda_salim
Mfano wa moja ya kazi zake:
3...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.