Nahitaji hii simu

dontech

Member
Jan 4, 2020
90
59
Nahitahi hii simu Nokia 1280 kwa wakazi wa Dar mnilekeze nitaipata wapi ikiwa mpya na original natarajia kuingia huko kesho kama unayo mpya na box lake njoo hapa

live3.jpg
 
Model mpya sijazikubali sana hapana hiyo simu naipenda sana baada ya mwanzo kuzama nayo shambani ikapotea.nikiikosa nitachukua old model nyingine 1110 malufu yeboyebo

Nunua t-smart kutoka tigo 46,500 nzuri pia
 
Nunua t-smart kutoka tigo 46,500 nzuri pia
yani swala sio mpunga sihitaji kupata changamoto na haya matoleo mpya nayaona yanavyowatesa watu huko mpolini nokia 1280 or 1110 pigwa mvua ukipata nafasi unaifungu futa naji kazi inaendelea mfano hizi nokia 105 zina kaugonjwa wa ku stack on logo mpaka ukflash sasa mambo gani hayo
 
Atakayehitaji
Nokia E63, Asha 302 na C1 zipoo...
NOTE: Bei zake zimechangamka kiasi....

Sent using Jamii Forums mobile app
unapo sema nokia-0 ngapi maana ziko nyingi!ila hilo toleo simu zake zinazo kaa na chaji ni nokia c1-02 ila kama una x2-02 nakupa mpunga kesho mapema hiyo simu pamoja kua na kioo cha rangi na kamera iko vizuri ktk battery hapa nazungumzia simu sio midoli
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom