Tank la maji jpya lita 3,000 na koki yake

Tank la maji jpya lita 3,000 na koki yake

mambo_safi

Senior Member
Joined
Jul 22, 2019
Posts
185
Reaction score
452
IMG_20200126_144642_4.jpeg
IMG_20200126_144959_1.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna unafuu kama kweli bado ni jipya. Kibaha mjini bei ni 520,000/
 
Hili tanki lina miezi 2 tangu nilinunue kwahiyo bado jipya. Pili nimeweka koki yake kwa gharama ya shilling 40,000. Kwa bei ya laki nne (wakubwa) niko fair sana. Nimechimba kisima cha kuvuna maji ndo maana naliuza nikanunulie pump!
 
Simtank jipya 3,000litres = TZS 450,000/=
Hiyo ni bei ya jumla mkuu na kama ni kweli basi itakuwa ni bei ya mjini. Lakini kwa maeneo karibu na Kibaha bei ni 550,0000 (laki tano na nusu) ukiongeza usafiri
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom