Natafuta matank ambayo hutumika kuifadhia mafuta kama petrol , diesel au mafuta ya taa. Unaweza kuwa nayo wewe, rafiki yako, jirani au sehemu yoyote unayojua naomba uniunganishe, yanaweza kuwa sehemu ilipowai kubomolewa sheli (petrol station) ,, au mtu alipanga kujenga sheli badae akahairisha.
Namba yangu ya simu ni 0711286971.
Watsap au sms au call.
Namba yangu ya simu ni 0711286971.
Watsap au sms au call.