Gari Inauzwa.Toyota Altezza

Gari Inauzwa.Toyota Altezza

dovillenproperty

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
3,203
Reaction score
2,227
Gari iko vzr na iko kwenye ubora wake,
Engine capacity 1900
4slnd
Gari ni new model ya mwaka 2005

Bei 9.3m

Maongezi zaidi 0756060183

View attachment 1092831
IMG_20190509_114132.jpeg
 
Mbona Usukani umekwajuka hivyo!??
Au ndio hiyo ilipata ajali hapo kwenye avatar yako..

Kula4.5 iyo gari
 
Hapana mkuu hii haijawahi kupata ajali, hiyo kwenye avatar ni nyingine na ni kitambo sana
Mbona Usukani umekwajuka hivyo!??
Au ndio hiyo ilipata ajali hapo kwenye avatar yako..

Kula4.5 iyo gari
 
Mkuu kupanga ni kuchagua ila sidhani kama ukiagiza pamoja na ushuru na kila aina ya kodi kama utalipa kiasi hiki
Kweli mkuu ukiagiza inakaribiana na iyo kabisa.....but gari yako ni nzuri kwa kweli meziona picha zake vizuri inastahili kabisa iyo bei
 
Kweli mkuu ukiagiza inakaribiana na iyo kabisa.....but gari yako ni nzuri kwa kweli meziona picha zake vizuri inastahili kabisa iyo bei
Acha kumdanganya wewe,
Yaani mtu ununue gari ya tofauti ya miaka mitatu na nusu kulinganisha na kuagiza kwa ajili ya kuokoa laki 7 tu?
 
Inategemea imetumikaje, ila yote kwa yote kupanga ni kuchagua
Acha kumdanganya wewe,
Yaani mtu ununue gari ya tofauti ya miaka mitatu na nusu kulinganisha na kuagiza kwa ajili ya kuokoa laki 7 tu?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom