Nina biashara ya vikapu, kwa yeyote mwenye kuhitaji anitafute

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,314
33,108
AS-SALAAM ALAYKUM MARAFIKI ZANGU HAMJAMBO?

Mimi ninauza vikapu vya kwendea Sokoni jamani kwa mtu mwenye kuvitaka kila kikapu shilingi Elfu 60 za Tanzania.

Kama kuna mtu anahitaji hivyo Vikapu awasiliane na dada yangu anaitwa kwa jina Bi Eshe Omari namba yake ya simu ni 0656 063 805.

Mpigie simu na umtumie pesa zako atakutumia kikapu chako kokote ulipo nchini Tanzania.

Na kwa wale waliopo nchi za jirani kwa mfano kama ni nchini Kenya utalipa shilingi Elfu 4 za Kenya atakutumia kikapu chako kwa njia ya usafiri wa mabasi yanayokwenda Kenya.

Kwa watu wa Kenya piga namba ya simu hivi. +255-656 063 805.

Haya changamkeni vikapu vizuri sana Siku hizi mifuko ya plastiki Serikali imepiga marufuku.

Vikapu ni vizuri kwa afya ya mtumiaji.

Asanteni.


VIKAPU 2.jpg
VIKAPU.jpg
 
Back
Top Bottom