Nahitaji feni, nipo Dar es Salaam

Nahitaji feni, nipo Dar es Salaam

Status
Not open for further replies.

toplemon

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2017
Posts
4,607
Reaction score
4,771
Inahitajika feni iwe na upepo wa kitosha na nzuri, nipo Dar.

Budget yangu ni 20k yaani 20,000.
Uwe Dar

Nicheki pm

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo 22,000
1-211.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo kwenye upepo wa kutosha na nzuri ndo penye mtihani, lakini kama swala ni feni tu hata za mabua zipo
 
Kuna panga boi oldest model, bei 12,000 unaletewa hadi nyumbani kwako.

Nauli ya mkokoteni 3,000 tu inatosha, maana kwa mikono haibebeki.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom