Kama kuna kiwanja kinapatikana maeneo ya Mwanza mjini/karibu na mjini, kiwe kipo sehemu nzuri.
Contact namba hizi:
0764 372 652
0738 661 897
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
Habarini Wakuu,
Kama Kichwa cha habari hapo Juu Natafuta chumba maeneo ya Msewe, Ubungo, Mwenge, Sinza, Survei na yote karibu na maeneo tajwa hapo Juu.
Sitaki Kuwachosha sana Bajeti yangu ni...
Habari wana jamvi,
Natafuta tender ya kusupply chemicals na reagents kwa SHULE,VIWANDA,TAASISI ZA KISERIKALI NA ZISIZO ZA KISERIKALI PAMOJA NA VYUO VIKUU. Bei zetu ni nafuu tuna documents zote za...
Nahitaji maharage ya njano gololi(Soya njano) kwa wingi,nipo Arusha
Mwenye nayo naomba anipe bei yake kwa gunia.
Nitahitaji na picha.
Whatsapp no.0719033180
Habari wadau?
Natafuta nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko.
Iwe fenced, na parking. Maeneo; Nane nane, forest, mazimbu au modeco.
Pia kama una kimoja self, fenced nijulishe. Maji ni...
Wakuu habarini, natafuta chumba self contained Dar es salaam. Maeneo ya ilala au magomeni so far the budget is up to 90k.
Kwa mwenye connection au chochote here is my contact 0759007696
Habari wakuu,
Natarajia kwenda Namanga hivyo naomba kwa yeyote mwenye chumba anisaidie.
Mawasiliano: 0758 106 501
Ahsante.
Sent using Jamii Forums mobile app
NJOO NIKUUZIE PANGA BOI, AMPLIFIER YA GARI, AMPLIFIER YA NYUMBANI
(50k) amplifier wats 300 (200k) amplifier ya gari na head rest screen moja (200k) vyote 0786551815
Nauza mayai ya kienyeji (Kuroiler) kwaajili ya Kula na kwa ajili ya kutotolesha shilingi 12,000 tu kwa tray.
Karibu Sasa.
Call/Text/WhatsApp
0766 006128
0655 715184
0783 579456
Tunapatikana...
Miliki kiwanja Dar es salaam kwa bei nafuu na lipia kwa awamu mpaka miezi 12 na 24.
Miradi yetu ipo
- Dar es salaam
Goba, kibaha, kiluvya, Mapinga, Vikawe, Mwongozo, Dege Beach plots na Mwasonga...
Habar wana Jf naomba nitambulishe biashara yangu kwenu. Nina uza sungura aina 2 ambayo ni chichilla dume na majike mawili ni nezrand white umri ni miezi 6 napatikana dar kitunda kwa mawasiliano...
Naomba mtu aniunganishe na mtu mwenye jambo lolote, linaloweza kuvutia watu na kuwakusanya nikatangaza biashara yangu.
Sarakasi
Ngongoti .
N.k
Malipo maelewano.
Please njoo pm
Sent using Jamii...
Salaam, tunatengeneza mifuko kwa ajili ya matumizi tofauti tofauti kama vile
- Kuhifadhia bites za kwenye shughuli mbalimbali kama vile harusi, kitchen party nk
- kuwekea bidhaa mbali mbali za...
MATUNZO KWA KUKU WA NYAMA
(BROILER)
kuku hawa kiasili ni kuku ambao wana uwezo wa kukua haraka ndani ya wiki 3.5 mpaka 4 kutegemea na aina ya chakula unachowapa na matunzo.
Kuku hawa hukua na...
Kitu freeeeeeesh kutoka shamba!!Karanga mbichi hizo za maganda zinapatikana.Zinauzwa kwa kipimo cha kisado na debe/ndoo.
Kisado tsh.3500
Ndoo tsh.16000
Kwa wale wa Mwanza ukichukua kuanzia visado...
Wakuu, kwanza poleni na majukumu ya hapa na pale, lakini ni suala la kumshukuru Mwenyezi Mungu, mwingi wa rehema kwa kuendelea kuwa nasi katika kazi za hapa na pale.
Naomba kusema yaliyonileta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.