Mdau anahitaji chumba cha sh. Elfu 30 lakini uwezo wa kulipa ni kila mwezi kwa alie nacho au anaejua kilipo kwa kuanzia Davis Corner hadi Buza kwa Lulenge tuwasiliane pm.
Sent using Jamii Forums...
Kampuni ya Property Investors Company inauza viwanja vilivyopimwa Na kutambuliwa na serikali.
Viwanja vipo Makurunge
Bei yake 12500 kwa mita mraba
Umbali ni Km 7 kutoka barabara ya Morogoro
Wahi...
Wadau natafuta mchanga mlaini kwa ajili ya kupiga plasta kwenye nyumba.
Kwa anayefahamu dereva au mahali unapopatikana anifahamishe tafadhali.
Nipo jijini Dar es Salaam.
Salama wakuu
Kuna mtu rafiki yangu anakuja mjini hapa!! Anatafuta room self contained yenye tiles hapo maeneo ya Kimara Mwisho karibu na mwendo kasi. Bajeti yake ni Sh. 60,000 - 70,000. Yoyote...
We Digital Motion Software Company based in Tanzania with, 4+ years of success in software development-based achievements with decisive market leadership to build high-performance organizations...
Ni ya 2006, ni Petrol Engine, 2400cc, ina automatic Na manual (Unaweza kuendesha kama automatic summer manual), DVD, radio, MP3 player, CD changer, leather seats, ina 136,000km kwa sasa.
Bei ni...
Nahitaji fundi anaye jua kushona aina zote za nguo za kike naza kiume. Ofisi ipo maeneo ya Sabasaba kwa mpili (Mbagala) mshahara maelewano.
+255718029933
Naomba kuuliza bei za Guitar au gitaa Tanzania, za umeme na zisizo tumia umeme, nimeziona huku nilipo katika minada au auction, pengine naweza kufanya hii biashara, nahitaji kufahamu bei zake...
Habari wanakijiji.
Kwa wale wanaotafuta Vyumba au Nyumba za kuishi nawadondoshea mzigo hapa na kama Unahitaji popote pengine ndani ya Dar es salaam tuwasiliane.
****PICHA ZIPO ILA MAWASILANO SI...
TOYOTA RAV4 FOR SALE
New car Tyres
In Good condition
2WD,3s Engine type
BEI 5,000,000/=
Gari iko dodoma
0767833496/ 0622111186
Sent using Jamii Forums mobile app
Salama wakuu
Kwa mahitaji yako yote ya furniture(samani) za aina yeyote ile, majumbani, maofisini na maeneo mengine tupo kwa ajili yako, tunapatikana mwenge
Kwa wakaazi wa Dar es Salaam...
Hello wadau! Ikiwa imebaki wiki moja tuumalize mwezi Januari, leo tujadiliane kitu kimoja. Kwa namna moja ama nyingine simu zetu za TECNO zimekuwa na watumiaji wengi sana Tanzania. Huku ikionesha...
kwenye wakati ambao demand inaweza kuwa kubwa kuliko supply kutokana na matatizo yanaoyoendelea
china oneline traders tumeshusha contena la v tishrt tunauza kwa bei nzuri zaid
v tishrt cotton
bei...
Wadau, naomba muongozo kwa yeyote anayelifahamu soko la sungura (I mean wanunuzi wa sungura) aniunganishe na wanunuzi wa uhakika.
Natanguliza Shukrani.
My WhatsApp +255767313277.
Sent using...
Kama kuna kiwanja kinapatikana maeneo ya Mwanza mjini/karibu na mjini, kiwe kipo sehemu nzuri.
Contact namba hizi:
0764 372 652
0738 661 897
Shukrani
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.