Mi ninauza compute aina ya HP elitebook 8440p
Core I5
HDD2500
Ram 4 GB
Inafanya kazi vizuri ikiwa na external monitor kwani tatizo lake ni Display kioo ndio kibovu
Tunauza kuku wa kienyeji pure jumla na reja rejareja. Wanatoka Singida na Tabora
Tunapatikana Mbezi Mwisho
0653 232 350
0693 552 575
Sent from my iPhone using JamiiForums
Tunauza maturubai na Magunia yenye viwango bora
Maturubai tunauza bando yenye maturubai 5 kwa shillingi 63,000/= yenye size ya 4x5
Na kwa moja moja ni 13,000/=
Tunazo Gunia za katani bando...
Uhai wa asasi za Kiraia kwa kiasi kikubwa hutegemea fedha (ruzuku na michango) kwa ajili ya utekelezaji wa miradi mbalimbali. Utekelezaji wa miradi hiyo huiwezesha Taasisi kutimiza malengo ya...
Nauza wallpapers kwa ajili ya kupendezesha nyumba, ofisi, mgahawa, saloon, etc
Bei nyasi TZS 35,000/-
Gundi 10,000/-
Wallpaper 25,000/-
Call/WhatsApp 0767183795
Sent using Jamii Forums mobile app
Msaada jamani kwa wale wenyeji wa Mwanza ni sehemu gani naweza kupata viungo kama mdalasini,hiliki,na vingine kwa bei za jumla.Kwa kipimo cha kilo
Sent using Jamii Forums mobile app
Soft cakes Tanzania inakuletea ofa kabambe.
Keki zimeshuka bei mpaka 10,000/= unapata keki. (Dar ni free delivery).
Ukiweka order ndani ya kipindi hiki cha sikukuu utapata keki kwa bei sawa na...
AJAKAI ICT - FREE HELPDESK & IT SUPPORT:
[AJAKAIICT dot COM] - We are here to help our customer, students and visitors to get the best IT service for free of charge, from our office and online...
Jipatie double ottoman kama hizi katika staili mbalimbali kwa matumizi yako ya kukalia kama vile chumbani,saluni, dressing room na kwa wale wasanii wanaochora kucha za wakina dada kuna base nzuri...
Prado V8 ya mwaka 2008
Gari inatumia petrol
Gari ina shock absorber za TJM
Coil spring za robs majick
Ngao yake ni orignal TJM
Mkonga wake pia ni TJM
Ina music system
Tyre zote BFGOODRICH mpaka...
Habari wakuu.
Poleni na majukumu, wakuu naomba wenye uzoefu na biashara ya mchele au wanao fahamu mchele bora grade one unapopatikana na makadrio ya haraka haraka ya bei kwa kilo.
Maana nataka...
Wanajamvi habarini za mchana, kama ambavyo kichwa cha mada hii kinasomeka hapo naomba kufahamu au mtu ambaye analijuwa kampuni lolote linaloweza kunisafirishia mzigo kutoka kwenye mataifa haya...
Should you need to buy a variety of grains like rice, maize or beans in bulk then don't bother to find where to find cereals even if you are in any country, PRINCEMATTA GROUP is a wholesaler and...
Should you need to buy a variety of grains like rice, maize or beans in bulk then don't bother to find where to find cereals even if you are in any country, PRINCEMATTA GROUP is a wholesaler and...
Mzigo upo wa kutosha mpaka zaidi ya tani 5
Pia ni uamuzi wako..aidha zimenywe au La.
1800 kwa kilo
Mzigo upo mbeya mjini....
0713-976271
Serious buyer only
Toyota Rav4
Year-1998
Cc-1990
Km -234000
Bei mill 7.
Auto
Location:mbeya
Gari imenyooka nikutekenya na kusepa.
Call 0625-924942
Sent using Jamii Forums mobile app
Ipo Kinyerezi haina shida yoyote inagandisha fasta.Mwenyewe ana uhitaji wa fedha ya haraka.
Bei laki moja na themanini elfu.
Ni Hot Point.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.