Natafuta magari binafsi ya kukodisha

jnia

Senior Member
Oct 10, 2012
112
37
habari.
natafuta watu wenye magari yao binafsi na wapo teyari kuyakodisha kwaajiri ya shughuli za sherehe (harusi, send off n.k) karibu tufanye biashara nina wateja wengi wa kukodi magari kwaajiri ya sherehe. asanteni

contact
rabbion@yahoo.com
0755 270727
 
Kwa namna tangazo lilivyokaa either mtoa tangazo ni mwiz/tapeli au hayupo serious na hiyo biashara au hata haijui biashara yenyewe anasikiaga tu watu wanafanya!! .

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
ok... lengo ni kuwa na mtandao mpana wa watu wenye magari yao na wana wish kukodisha kwa ajiri ya sherehe au shughuli zozote. mfano una noah ipo kwenye hali nzuri i can connect you na wateja wanaotaka kukodisha... ni hivyo tu ndugu zangu.
 
Events planner siyo
 
Kwa namna tangazo lilivyokaa either mtoa tangazo ni mwiz/tapeli au hayupo serious na hiyo biashara au hata haijui biashara yenyewe anasikiaga tu watu wanafanya!! .

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Hizi tabia zenu za kukurupuka na kumuita mtu mwizi au tapeli pasipo kutoa reason behind ni kumdhulumu mtu haki yake na ni kinyume na sheria.

Ukiweza kukosoa ujue na kusahihisha, siyo unatuambia mwizi halafu unatoweka. Kama una zoefu kuhusu hiyo biashara na utapeli wake basi tufahamishe.

Siyo kila mtu ni content writer. Kama mtoa andiko kuna mahala amekosea au andiko lake halina minofu ya kutosha, ni hekima yako kumuweka sawa pasipo kumuharibia na hiyo ndo Jamii Forum, home of great thinkers tunayo itaka.
Kwani ukichunguza hata wewe ulichokiandika hakijakamilika.
 
ni kweli
 
Kaka ubarikiwe kwa hekima yako ya ki MUNGU.

Na Unga mkono hoja
 
Back
Top Bottom