nyumbamungu
JF-Expert Member
- Mar 3, 2017
- 1,034
- 900
Kwa yoyote mwenye mabadiliko ya bei ya vifurushi vya Dstv naomba aweke ubaoni ... Bomba, Family, Compact, Compact + & Premium.
Kwa hali hii itabidi tumgeukie tu azam maana kipindi cha kushusha vifurushi nyie mnaongezatafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi zitakua kama ifuatavyo; Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/-Compact Tsh. 49, 000/-,Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu
tafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi zitakua kama ifuatavyo; Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/-Compact Tsh. 49, 000/-,Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu
Uende azam ukaangalie nini kwa mrfano?, Sultan?Kwa hali hii itabidi tumgeukie tu azam maana kipindi cha kushusha vifurushi nyie mnaongeza
Wadau wadau
Iv wadau kwan Dstv hawa ruhusu mtu kulipia kwa siku au wiki moja walau ..
Ina bidi wawa saidie wadau wao maana nimesoma vilio vya wajumbe hapa ama hakika wafanye jambo walau wadau wawashe Tvs zaoHao wako next level hakuna mambo ya siku wala wiki
Nimewahi kuwauliza hili na jibu lilikuwa tu "hatuna". Sioni mantiki ya kutokuwepo vifurushi vya siku, wiki. Waliamua kushuka chini ili kupata wateja zaidi na wamefanikiwa. Ushauri wangu kwao na hili waliangalie.Hao wako next level hakuna mambo ya siku wala wiki
Gharama zimepanda na baadhi ya channel wametoa, labda kama ni kwangu tu. Mfano kwa kifurushi cha bomba, nimeona wametoa channel zote za supersport (201-210). Kulikuwa na channel ya movies, 139, nayo wametoa. Wajiangalie!tafadhali fahamu kuwa gharama zetu mpya za vifurushi zitakua kama ifuatavyo; Premium Tsh.139,000/- Compact plus Tsh.89,000/-Compact Tsh. 49, 000/-,Family Tsh.29, 900/- na Bomba Tsh.19, 900/-tu
Channel za michezo sasa zinaanzia 218 mkuu hawajazitoa wamebadilisha namba tuGharama zimepanda na baadhi ya channel wametoa, labda kama ni kwangu tu. Mfano kwa kifurushi cha bomba, nimeona wametoa channel zote za supersport (201-210). Kulikuwa na channel ya movies, 139, nayo wametoa. Wajiangalie!
Huku kwangu hazipo kabisa, labda kama wamerejesha siku mbili tatu hizi.Channel za michezo sasa zinaanzia 218 mkuu hawajazitoa wamebadilisha namba tu
Hazipo mwisho jumamosi me nilikesha natafuta.Huku kwangu hazipo kabisa, labda kama wamerejesha siku mbili tatu hizi.
Zinaanzia 220 kwa michezoHazipo mwisho jumamosi me nilikesha natafuta.
Ikiwa decoder yako inadai ku update nawe una cancel ni tatizo mpaka kutokea vile vitu vya kisasa kutokuwepo..Huku kwangu hazipo kabisa, labda kama wamerejesha siku mbili tatu hizi.
Dstv sio ya bongo iyo ni chanel ya dunia nzima,unacho lipia huna nenda Azam ama ContinentalNimewahi kuwauliza hili na jibu lilikuwa tu "hatuna". Sioni mantiki ya kutokuwepo vifurushi vya siku, wiki. Waliamua kushuka chini ili kupata wateja zaidi na wamefanikiwa. Ushauri wangu kwao na hili waliangalie.
Sidhani kama nimekuelewa.Dstv sio ya bongo iyo ni chanel ya dunia nzima,unacho lipia huna nenda Azam ama Continental