Habari
Nataka kufanya biashara ila nahitaji mtu wa kunifanyia market research kwenye maeneo mbali mbali hapa dar es salaam
Na kunishauri kulingana na alichokipata kwenye hayo maeneo.
Aina ya biashara
Chakula
Nguo aina zote
Vitambaaa vya kike
Hardware
Ntapokea ushaur na mapendekezo yake pia
Plz niPM