Zanzibar; Kiwanja Cha ufukweni kinauzwa.

Zanzibar; Kiwanja Cha ufukweni kinauzwa.

LaRosa

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2020
Posts
901
Reaction score
2,890
Habari!

Zanzibar Kuna eneo zuri saana coast view plot linauzwa kwa haraka. In case Kama unataka kujenga apartment za watalii, restaurant, Bar, hotel e.t.c hata nyumba yako pia sawa tu. Kiwanja kina ukubwa mita 28 na 30. Kuna umeme na running water.

Inauzwa at very affordable price.

Only serious people.. inbox for more information and mobile number.

Shukrani.
FB_IMG_1604556290848.jpg
FB_IMG_1604556288289.jpg
 
Habari!

Zanzibar Kuna eneo zuri saana coast view plot linauzwa kwa haraka. In case Kama unataka kujenga apartment za watalii, restaurant, Bar, hotel e.t.c hata nyumba yako pia sawa tu. Kiwanja kina ukubwa mita 28 na 30. Kuna umeme na running water.

Inauzwa at very affordable price.

Shukrani.View attachment 1620848View attachment 1620849
Hiyo affordable price ni shilingi ngapi?
 
Alafu baadae uje kuambiwa Hilo Ni eneo la BAHARI [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
 
Alafu baadae uje kuambiwa Hilo Ni eneo la BAHARI [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Wewe kazi yako kuwa negativity tu! Yaani sehemu ambayo jirani yako ni Europeans ana body of advisors wamekagua wakajiridhisha akaweka investment ya billions of money ije kuwa Ni eneo la bahari?

Lakini nimekuona tangia kwa yule jamaa anaetaka kununua Kiwanja Cha million 40 huko so negative tu!

Daah! Mungu akubariki lakini maana na wewe ni kiumbe wake.
 
Back
Top Bottom